Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe is compromised by the ccm system but Tundu Lissu is not and that’s the reason ccm and its system is spending a lot of money in support of their stooge Mbowe.
Hivi kweli CCM ingekuwa inamtaka Mbowe ingemfanyia kampeni za wazi wazi katika uchaguzi wa ndani wa Chadema. Kwamba kuwaonyesha wanachama wa Chadema wazi wazi kuwa Mbowe ni mtu wao ndio kutawafanya wampigie kura? Au ndio kutawafanya wamuone kama msaliti na hivyo watampigia kura mpinzani wake? Hata hilo hamlioni?

Amandla...
 
Hujui kitu, anayesapotiwa sasa ni Lissu ili wamtoe Mbowe Chamema ife baada ya kujaribu kila njia kummaliza Mbowe na kumshindwa. Waliua biashara zak, wakaua mashamba yake wakazuia akanti zake lakini mwamba akawa imara kukilinda chama. Wameona sasa wamtumie Lissu kwa mlano wa mbaaali sana, wewe huwezo kuuona sasa, ili amvuruge Mwenyekiti chama kivurugike halafu malengo yao yatimie, wagonge glasi na kujipongeza
Na Lissu haoni huo mtego kutokana na ego yake. Tangu lini watu kama Slaa na Msigwa wakitakia mema Chadema? Sasa hivi Zitto nae amejitokeza kumchimba Mbowe. Anaamini wanafanya yote haya kutokana na mapenzi waliyokuwa nayo kwa Chadema? Thubutu!

Amandla...
 
Hivi kweli CCM ingekuwa inamtaka Mbowe ingemfanyia kampeni za wazi wazi katika uchaguzi wa ndani wa Chadema. Kwamba kuwaonyesha wanachama wa Chadema wazi wazi kuwa Mbowe ni mtu wao ndio kutawafanya wampigie kura? Au ndio kutawafanya wamuone kama msaliti na hivyo watampigia kura mpinzani wake? Hata hilo hamlioni?

Amandla...
Ccm ni nguli wa fitina za chaguzi za aina zote hawawezi kujitokeza wazi wazi wanafanya mambo yao nyuma ya pazia na pia kumpa Mbowe fedha za kampeni!
 
Hujui kitu, anayesapotiwa sasa ni Lissu ili wamtoe Mbowe Chadema ife baada ya kujaribu kila njia kummaliza Mbowe na kumshindwa. Waliua biashara zake, wakaua mashamba yake wakazuia akanti zake lakini mwamba akawa imara kukilinda chama. Wameona sasa wamtumie Lissu kwa mlango wa mbaaali sana, wewe huwezi kuuona kwa sasa, ili amvuruge Mwenyekiti chama kife halafu malengo yao yatimie, wagonge glasi na kujipongeza
Chadema itakufa iwapo Mbowe atang’ang’ania kuendelea kuwa Mwenyekiti na hii ndio itakuwa furaha ya Samia kuwa azma yake ataitimiza kiu rahisi!
 
Ccm ni nguli wa fitina za chaguzi za aina zote hawawezi kujitokeza wazi wazi wanafanya mambo yao nyuma ya pazia na pia kumpa Mbowe fedha za kampeni!
CCM ilishawahi kumtuma Chacha Wangwe aliyewahi kutoka huko wakashindwa, wakamtumia Zitto aliposhindwa wakamhamishia ACT, wakamtuma Dk Slaa, aliposhindwa wakamzawadia na ubalozi, ingawa walipomtumia kama condom akahoji kuhusu DP World wakamvua na huo ubalozi wenyewe. Sasa kama ulikuwa hujui wanataka kumtumia Lissu akishindwa wanamuita CCM wanampa Uwaziri wa sheria au Uanasheria Mkuu wa Serikali
 
Hiyo yote ni propaganda ya chawa wa Mbowe hakuna ukweli wa hali ilivyo sasa ndani ya Chadema!
 
1. Wajumbe wengi wameonyesha hofu ya kumchagua Tundu Lissu kutokana na jinsi anavyoongea maneno mengi bila kujitafakaru kwanza ni kipi cha kuzungumza na wakati gani wa kuzungumza.Wanasema kiongozi anapaswa kuwa msikilizaji zaidi na mzungumzaji kwa uchache.

2. Tundu Lissu amelalamikiwa kutokutunza siri za Kamati Kuu na chama, kuna mambo ambayo hayapaswi kuwekwa hadharani mfano uliotolewa ni jinsi alivyolipuka kuzungumzia kikao cha siri kati yake na Mbowe kilichofanyika Msimbazi Centre na kuongozwa na kiongozi mkubwa wa dini.Imeelezwa hiyo ni siri na hatari kubwa kutolewa hadharani kwa maslahi ya chama.

3. Tundu Lissu amelalamikiwa na baadhi ya wajumbe kuwa hakudhamiria kugombea Uenyekiti wa chama bali amegombea kulipa kisasi cha Wenje 'kugombea nafasi yake' kama mwenyewe alivyonukuliwa akisema siku aliporejea kutoka Ubelgiji.

4. Baadhi ya wajumbe wanasema Tundu Lissu ni mtu wa kulipiza visasi na wamesema huenda ameomba nafasi hiyo ili kulipiza visasi kwa maadui zake na kufuta kabisa legacy ya Freeman Mbowe aliyekijenga chama hicho kwa jasho na damu

5. Tundu Lissu pia analalamikiwa kutuhumu kila anayetofautiana naye kwamba ni mla rushwa ndani ya chama na ndiyo maana analalamikia wajumbe wote wanaomuunga mkono Mwenyekiti kwamba walitoa rushwa kushinda uchaguzi.Wajumbe wana hofu endapo akishinda atawafukuza wale wote wanaompinga ili aweke watu wake.Amekuwa akiituhumu mpaka sekretariati ya chama kwamba haimuungi mkono na amesema wazi wazi akishinda atawaondoa wajumbe wote.

6. Tundu Lissu analalamikiwa kumkashifu, kumdharau, kumuandama na kumtungia kila aina ya kashfa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kwa lengo la kumuonyesha hafai mbele ya Jamii.Wajumbe hao wamesema kwa hali ya kawaida alipaswa tu kumtunzia heshima Freeman Mbowe kwa jinsi alivyomsaidia mambo mengi ikiwemo kuokoa maisha yake alipopigwa risasi na kumtunza hospitalini Nairobi miezi 4 kama alivyonukuliwa kusema kaka yake Lissu.

7. Wajumbe wengine pia wamesema anatakiwa kuchaguliwa mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kuyaunganisha makundi yote baada ya uchaguzi kitu ambacho Tundu Lissu hawezi kwa sbabu tayari anatukana yeyote anayempinga kwamba ni mla rushwa na kapokea hela za Abdul na mama yake.

8. Tundu Lissu anatuhumiwa kuungwa mkono na makundi yaliyo nje ya Chadema yenye nia ovu ya kutaka kukiteka Chadema.Makundi hayo ni ya wanaharakati na Diaspora ambao kila kukicha wamekuwa wakimshambulia Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho.

9. Wajumbe kadhaa pia wamesema kiongozi yeyote wa Chadema hasa Mwenyekiti anapaswa kuwa mnyenyekevu kwa viongozi wenzake kitu ambacho Tundu Lissu hana, imedaiwa kitendo cha Tundu Lissu kuhutubia Taifa siku ya mwaka mpya ni utovu mkubwa wa nidhamu kwa Mwenyekiti wake kwani anayepaswa kuongea kwa niaba ya chama ni Mwenyekiti wa Taifa na si mtu mwingine.

10. Tundu Lissu siyo mtu wa maridhiano na mapatano kitu ambacho ni kibaya sana kwa kiongozi mkuu wa chama.Wajumbe wengi wamesema Mwenyekiti wa chama lazima awe mtu anayeweza kuzungumza na makundi mbalimbali na kukubaliana au kuridhiana na hata kama ikishindikana kukubaliana basi kuheshimiana kitu ambacho Lissu msipokubaliana jambo inakuwa kama uadui.

11. Tundu Lissu amekuwa mtu anayebadili kauli kila siku kutegemeana anataka kupata nini kwa wakati huo, kwa mfano siku za nyuma aliunga mkono maridhiano na akasema ni mazuri sana na kumsifia Rais Samia lakini sasa amegeuka kabisa kauli yake na anatumia kila aina ya lugha mbaya kumkejeli Mwenyekiti wake kuhusu maridhiano.

Kutokana na Tathmini iliyofanywa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena na wajumbe na anatarajiwa kupata ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura za wajumbe huku Tundu Lissu akitarajiwa kupata kura kati ya asilimia 30% mpaka 40% ya kura.

NJOO NA HOJA ZAKO NA WEWE TUKUSOME
 
Wajumbe tunawasikia, kuanzia Tanga Hadi katavi, mara Hadi Songwe, Mbeya hadi Mwanza na wengine wengi wakisema watasimama na Lissu. Wenyeviti wa Kanda na wenyeviti wa mikoa ndio wametoka hadharani wakisema wanasimama na Mbowe. Kiuhalisia bila Mizengwe Lissu anampiga na kumuacha mbali Mbowe.
 
Bado hajalipwa ,akishalipwa kama akikataa hapo anaweza kumshitaki mahakamani.
Imebid tu nicheke, kwamba Tundu kipindi yupo kitandani aliingia makubaliano na Wenje akopeshwe.?.

Kama Wenje aliweze mshawishi Abdul aende nyumban kwa Lissu kwa lengo la kushughulikia pesa za Lissu basi ana roho nzuri sana.
 
Endelea kucheka tu ,kwani waliotoa amri apelekwe nairobi lissu ndiyo aliyewaruhusu? Hauoni kwamba walifanya maamuzi kwa niaba yake?
 
Binafsi nikisikia jina la Dr. Slaa najisikia kinyaa na kichefuchefu kabisa. Guyu atapunguza kura za Lissu tarehe 21 January 2025
 
CCM ilishawahi kumtuma Chacha Wangwe aliyewahi kutoka huko wakashindwa, wakamtumia Zitto aliposhindwa wakamhamishia ACT, wakamtuma Dk Slaa, aliposhindwa wakamzawadia na ubalozi, ingawa walipomtumia kama condom akahoji kuhusu DP World wakamvua na huo ubalozi wenyewe. Sasa kama ulikuwa hujui wanataka kumtumia Lissu akishindwa wanamuita CCM wanampa Uwaziri wa sheria au Uanasheria Mkuu wa Serikali
Tundu Lissu sio mwana siasa malaya kama hao wengine!
Freeman amefanya Chadema kitega uchumi chake; sasa vijana wamemstulia hana hadhi tena!
 
Back
Top Bottom