Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain

No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Ujumbe_wa_Mwenyekiti_wa_@chadematzofficial_Taifa_Mh:_#Freeman_M...jpg
 
Asante Mbowe

Hizo ndio siasa. Sio kuponda kila kitu kisa ni mpinzani.

Ziara ya Mhe. Rais inatija kwa taifa.

Waliovuruga mahusiano kama akina Shigela hawatapewa nafasi tena ya kufanya siasa za chuki
EeenHeee!

Namkumbuka yule waziri wao (Kenya) na ujumbe wake walivyotaka kuvamia kwa nguvu ukaguzi wa bandari ya Tanga kama inafaa kwa bomba la mafuta ya Uganda.

Bila shaka ingekuwa leo hii, ujumbe huo ungemwarisha Shigela aufyate, maanake boss wake kawekwa mfukoni.
 
Mkuu, sikukuona Chato!
Any way. Jitahidi kuzoea haya MABADILIKO.
 
Asante Mbowe

Hizo ndio siasa. Sio kuponda kila kitu kisa ni mpinzani.

Ziara ya Mhe. Rais inatija kwa taifa.
Waliovuruga mahusiano kama akina Shigela hawatapewa nafasi tena ya kufanya siasa za chuki
Umemsahau na Kabudi. Nadhani ndio maana ameshindwa kufuatana na Mh Rais kwenye safari iliyo hitaji waziri wa sheria awepo..
 
Asante Mbowe

Hizo ndio siasa. Sio kuponda kila kitu kisa ni mpinzani.

Ziara ya Mhe. Rais inatija kwa taifa.
Waliovuruga mahusiano kama akina Shigela hawatapewa nafasi tena ya kufanya siasa za chuki
Jiwe hakuwa na chakupongeza wajinga wote waliokuwa wanasifia jiwe kwa Ukatili wake now wanaona aibu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wale mashabiki wa "legacy" za mwendazake naona wameshaanza kupotezana toka siku chama tawala kimepata Mwenyekiti mpya wa taifa. MATAGA ni zamu yao sasa kuutafuta mpira kwa tochi mpaka ifikapo 2030, ama kwa hakika chama kimerudi kwa wenyewe, mnune mpasuke yote yamegeuka kuwa zilipendwa.
 
Back
Top Bottom