Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Mapambio yameanza. Lakini ikumbukwe:
√ there is no fight without opposition; and
√ to every action there is an equal reaction.

Muda utaamua ila WATASHANGAA
mkuu pole na msiba
 
Sura inaonyesha jinsi alivyokuwa na roho chafu, Sasa akapambane na mungu uko ,yeye si mbabe, ajifufue basi!!!"
Utadhihaki aliyepumzika umauti wa milele mpaka lini? tambua kuwa, kila jambo unalopitia lina makusudi yake! Huenda bila Magufuli, Samia asingekuwa Rais leo! Kila nafsi itaonja mauti, sote tu safari moja!
 
Mbowe Hadi Sasa haelewi aje na nitoke vipi ya namna gani
 
Utadhihaki aliyepumzika umauti wa milele mpaka lini? tambua kuwa, kila jambo unalopitia lina makusudi yake! Huenda bila Magufuli, Samia asingekuwa Rais leo! Kila nafsi itaonja mauti, sote tu safari moja!
Tunapokuwa hai na hasa tunapokuwa na madaraka tujifunze kuheshimu binadamu wengine na kutenda haki ili hata tutakapokufa tusikejeliwe .

Jiulizeni kwanini Maalim Seif hatukanwi .
 
Mwendazake aliharibu haribu karibu kila pahala!! Safisha nyumba mama, safishaa!! mikunguni na viroboto bado imejaa uvunguni...
 
Tunapokuwa hai na hasa tunapokuwa na madaraka tujifunze kuheshimu binadamu wengine na kutenda haki ili hata tutakapokufa tusikejeliwe .

Jiulizeni kwanini Maalim Seif hatukanwi .
Kumkejeli Magufuli ni kujifedhehesha mwenyewe kwa kuwa huko aliko sasa hana cha kukujibu!
 
Kumkejeli Magufuli ni kujifedhehesha mwenyewe kwa kuwa huko aliko sasa hana cha kukujibu!
Usijifiche kaburini mkuu , unachotakiwa kujua ni kwamba dunia mapito , usitese watu ukitegemea huruma ya kuzikwa , utajadiliwa tu
 
Asante Mbowe

Hizo ndio siasa. Sio kuponda kila kitu kisa ni mpinzani.

Ziara ya Mhe. Rais inatija kwa taifa.

Waliovuruga mahusiano kama akina Shigela hawatapewa nafasi tena ya kufanya siasa za chuki
Mkuu isome hiyo twitter ya Mbowe mpaka mwisho., Mbowe amemtega mama Samia anamgojea kwenye demokrasia ni kama vile anamtanguliza ili mama aingie kwenye anga zake uone cha moto uchaguzi unaokuja 2025.,
 
Chama Cha upinzani kusifia Chama tawala inaashiria kukosa mbinu na kukubaliana na utawala uliopo.

Kifupi CHADEMA wanatushauri Watanzania wote tuunge mkono CCM na Samia Suluhu.
Inaelekea wewe Dogo ni mtoto saaaana,,kukubari kitu kizuri Siyo kwamba ideology yenu3 au yake mko Sawa. Pumbafu Wewe.
 
Asante Mbowe

Hizo ndio siasa. Sio kuponda kila kitu kisa ni mpinzani.

Ziara ya Mhe. Rais inatija kwa taifa.

Waliovuruga mahusiano kama akina Shigela hawatapewa nafasi tena ya kufanya siasa za chuki
Usimpangie mh Mbowe nini Cha kusema katika wakati na mda muhafaka, unaanzia wapi kumfundisha siasa mh Mbowe?
 
EeenHeee!

Namkumbuka yule waziri wao (Kenya) na ujumbe wake walivyotaka kuvamia kwa nguvu ukaguzi wa bandari ya Tanga kama inafaa kwa bomba la mafuta ya Uganda.

Bila shaka ingekuwa leo hii, ujumbe huo ungemwarisha Shigela aufyate, maanake boss wake kawekwa mfukoni.
Baadhi yao waliokua wanajifanya wakali walikua wanataka vyakuweka mfukoni
Wanajulikana ubadhirifu wao
 
Chama Cha upinzani kusifia Chama tawala inaashiria kukosa mbinu na kukubaliana na utawala uliopo.

Kifupi CHADEMA wanatushauri Watanzania wote tuunge mkono CCM na Samia Suluhu.
Mbona wanamuunga mkono mama Samia ni chadema lakini unaumia wewe sukuma gang?
 
Hii Kisaikolojia inaitwa "positive reinforcement".

Yani unampa Obama nishani ya Nobel mapema sana kwenye urais wake, kiasi kwamba akitaka kuchinja watu ajiulize mara mbilimbili, aseme watu washanipa heshima kubwa jwa nishani ya Nobel, kuchinja watu itakuwa ni noma kubwa sana.
 
Mkuu, sikukuona Chato!
Any way. Jitahidi kuzoea haya MABADILIKO.
Nakuona wewe upo hapa jamvini toka 2011, halafu unajifanya ni mkazi wa pangoni pasipo na mwanga.

Sasa sielewi wewe ni mtu wa namna gani.

Watu wengine mnachoweza ni kusoma tu, lakini hamna uelewa wowote wa mambo mnayoyasoma.

Na ili ujue ninachokuandikia hapa pasi shaka, ungekuwa na uelewa hata mdogo tu wa unayosoma unapoingia humu JF, usingenihusisha na upumbavu huo uliouandika hapo juu.

Wewe ni kilaza.
 
Back
Top Bottom