Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nilikua najiuliza utotoni hawa wanyarwanda na warundi kwa nini wanapigana wenyewe kisa kutofautiana makabila daah nimepata majibu kwa mzee baba alivyokua anaendesha Nchi kumbe ni rahisi mno kama sasa hivi unaona wengine wanatengwa kwa kuitwa sukuma gang hii ingekaa miaka kumi ingeleta machafuko Tanzania ..