Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

Chama Cha upinzani kusifia Chama tawala inaashiria kukosa mbinu na kukubaliana na utawala uliopo.

Kifupi CHADEMA wanatushauri Watanzania wote tuunge mkono CCM na Samia Suluhu.
Kwani umeambiwa siasa ni uadui?.Tofauti ya mawazo isitufanye tuwe maadui wakati lengo ni kujenga nyumba moja.Kwahiyo mbowe kama kaona alichokisema raisi ni sawa kwa maslahi ya taifa yuko sawa na hayo ni mawazo yake kwenye jambo ilo na anaweza akatofautiana na raisi kwenye mambo mengi.kuna wakati lazima ukubali kuna kukubali kutokukubaliana.Uwe na akili wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom