bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Sawa mwamba amekusikia!View attachment 1459189
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )
Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .
Hii ni tunu ya Dunia
View attachment 1459193
kwani wewe hujanisikia ?Sawa mwamba amekusikia!
🤣🤣 nimekusikia... ila sio kwa kujikomba uko kwa mwamba🤣🤣🤣kwani wewe hujanisikia ?
kujikomba ni nini ?🤣🤣 nimekusikia... ila sio kwa kujikomba uko kwa mwamba🤣🤣🤣
Kujikomba kwenyewe ni huku... hizo taarifa za kidunia zilizosema hivyo ni kutoka kwenye chanzo gani labda na mie nichungulie!! Mie sio mtu wa siasa, ila leo nimepotea njia tu kupita hapa. Umenishangaza kwa jinsi ulivyompamba mtu utadhani labda ni malaika, au ndio sisa zenyewe ndo zinataka hivyo?Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za
kumbe umepotea njia ! basi sawa mkuu nenda kachukue Noah yakoKujikomba kwenyewe ni huku... hizo taarifa za kidunia zilizosema hivyo ni kutoka kwenye chanzo gani labda na mie nichungulie!! Mie sio mtu wa siasa, ila leo nimepotea njia tu kupita hapa. Umenishangaza kwa jinsi ulivyompamba mtu utadhani labda ni malaika, au ndio sisa zenyewe ndo zinataka hivyo?
Kupotea njia sio tatizo... naweza nikaelekezwa vile vile! Nipe hiyo link na mimi nitembelee nione humo mwamba alivyotangazwa na ulimwengu kwamba yeye ndio mwanasiasa bora kabisa kwa wakati huu. Maana si kwa kumpamba huko/kujikomba. Au wewe ndo mwamba mwenyewe nini humu umekuja kivingine!kumbe umepotea njia ! basi sawa mkuu nenda kachukue Noah yako
View attachment 1459189
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )
Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .
Hii ni tunu ya Dunia
View attachment 1459193
Je hapo kuna uongo wowote ?MANENO HAYA ANGESEMA KIJANA WA CCM KUMSIFIA MWENYEKITI WANGESEMA ANATAFUTA TEUZ
Kama majina huumba unadhani kwa jina lako hilo kumeumbwa nini ?Kupotea njia sio tatizo... naweza nikaelekezwa vile vile! Nipe hiyo link na mimi nitembelee nione humo mwamba alivyotangazwa na ulimwengu kwamba yeye ndio mwanasiasa bora kabisa kwa wakati huu. Maana si kwa kumpamba huko/kujikomba. Au wewe ndo mwamba mwenyewe nini humu umekuja kivingine!
Nipe kwanza link nikamsome mwamba huko duniani alikotangazwa yeye ndo mwanasiasa bora.. kisha turudi kwenye jina langu mie! Tulimalize hili la mwamba kwanza.. huku kwenye bwege nazi tutarudi wala usijali!Kama majina huumba unadhani kwa jina lako hilo kumeumbwa nini ?
Hebu tuondolee shombo zako hapaView attachment 1459189
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )
Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .
Hii ni tunu ya Dunia
View attachment 1459193
pole mkuu

Hakika kwa ujasiri wake, anastahili kuingia kwenye Guiness World Records
Hahahaaa!! Mna tofauti gani na CCM wanaomsifu Magufuli kuwa Rais Bora Africa Kama siyo duniani kote?
Kiuhalisia Mbowe Ni mbabe wa kisiasa ndani ya Chama chake, no democracy in Chadema, ila nyie wafuasi wake wa karibu mnaonufaika lazima mtafute namna ya kumfurahisha boss wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ashazoea maisha ya mnywa gongo kila siku akimeza fundo lazima afumbe machoKutunga uzushi dhidi ya Mh Mbowe hakutakuondoa kwenye maisha magumu yanayokukabili