Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

na sasa TAKUKURU wameamua kununua mechi , tunawakaribisha uwanjani wawe wametumwa au wamejituma .
 
FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Mbowe una baraka za mamilioni ya watanzania na wanapotafuta njia za kukuchimbia shimo ndio tunazidi kukupenda.
 
Na uzuri zaidi mnachomfanyia mbowe nyie maskini mliopanda ngazi kupitia yeye mnafanya maskini wasaidike kwa shida sana kwasababu inaeleweka mkiwa na shida mnakuja na mikono nyuma kama inzi mkipata inakuja mbele mbowe mungu atakuinua tu kwanza unapendwa mnooo pengine kuliko unavyojipenda wewe mwenyewe. Kuna diehard fans wako kibao mnooo so relax mzeebaba.
 
View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193
Huyo mbowe kiongozi uchwara toka zake aka FARU JOHN
 
Back
Top Bottom