Mi sina maisha magumu Kama unavyodhani, sema akili yako Ni ya kipuuzi Sana, unasifu mpaka kiwango kisichomithilika.
Mna ubabe uliozidi na mwenyekiti wako Mbowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawalaza na viatu magambaGwiji wa siasa za kubadilisha gia angani!,siasa za matukio na siasa kususia bunge!.Hakika anastahili heshima sana gwiji huyu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alizomewa na wapiga kura wake unadiriki kusifia uongo? Kama alikopesha Chadema deni la uongo mpaka sasa analipwa mil 50 kila mwezi unamfananisha na akina Nkurumah! Labda umemix mbege na K vant.
Aishi maisha marefu Mwamba anayemfanya jiwe anakosa usingizi, anaye mfanya ndu.guy ana violet openly katiba aliyoapa kwayo, anaye mfanya Mr.slowly anatoa kauli za kumkufuru Mwenyezi Mungu!! Aishi maisha marefu Mwambaaa!
We unaumwa ugonjwa wa akili? Yaani chama ambacho hata hakijashika dola mnaanza ufisadi namna hiyo. Je mkipewa nchi mtajenga hata barabara?
Unanifahamu? Au mirungi mnayokula na mwenyekiti wako imekulewesha?Wacha kudanganya watu ukidhani watu hatukujui maisha yako yalivyo duni
In God we Trust
Pale Kibendera kikifuta muelekeo wake
Hahaha
To hoja acha mipasho ya kike!!Kama wewe unavyo faidika na kuramba miguu
In God we Trust
bring back 8.9 bil mbowe alizowachangisha wabungeBring back our 1.5trillion
In God we Trust
mkoa ilipo mwandiga ndo alipotoka mbunge wa kwanza wa chadema tanzania.wakati uo wewe upokwenu lindi kwa mzee mmwawia unatoa funza miguuni.Rudi kwenu mwandiga wewe babu
In God we Trust
Alikuwa DC wa Hai , akapandishwa cheo kwa kung'oa mboga na kuharibu shamba la mboga la kimataifa la KVL kutokana na wivu wa kishamba wa walio juuHivi RC wa mtwara anayeitwa Byakanwa kabla ya kuwa RC kule mtwara alikuwa wapi?
In God we Trust
Kuna makosa gani kumsifia mtu mwenye sifa halali ?, ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .
Hii ni tunu ya dunia 🤣🤣🤣🤣. Mbona mmeanza KUSIFU NA KUABUDU kama jiwe na wafuasi wake
Alikuwa DC wa Hai , akapandishwa cheo kwa kung'oa mboga na kuharibu shamba la mboga la kimataifa la KVL kutokana na wivu wa kishamba wa walio juu
Hii exaggeration imepindukia.
Hata Besigye au Bobi Wine wanafahamika na kuheshimika na jamii ya kimataifa kuliko Mbowe.
Kuna makosa gani kumsifia mtu mwenye sifa halali ?