Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ufisadi unaofanywa kwa kipindi chote kuna viongozi wa CDM?
Wote wa ccm?
Nakushauri tafuta duka linalouza akili ukanunue, tofauti na hapo unakoelekea ni majanga.
lipo duka la wachina kariakoo wanauza akili
 
Mbowe huwa anaongea busara sana kuliko kiongozi yeyote aliemo ndani ya CHADEMA sasa hivi, ila sasa anayofanya baada ya kuongea hilo ni jambo jingine. Siyo makamu wake ambaye huwa anaropoka tu. Hata hotuba yake ya jana, ingawa alikuwa anatoa lawama kwa Magufuli kwa kubambikiziwa kodi, lakini alitofautisha ya kulaumu na ya kutoa credit; alitoa credit panapostahili, na alilaumu panapostahili without namecalling kama yule jamaa mwingine
 
kubambika kodi ni kisehemu kidogo tu bali kuna unyama mwingi wa Mwendazake umefunuliwa
 
kubambika kodi ni kisehemu kidogo tu bali kuna unyama mwingi wa Mwendazake umefunuliwa
Nimezungumza kuhusu Mbowe anavyojua kujieleza kistaarabu na kwa busara sana; hayo mambo mengine unayalazimisha tu

Nimesema Mbowe anajua sana kujieleza kwa busara kiasi kuwa msikilizaji utamweleza vizuri kwani haongei kwa jazba na kurupoka; anaangalia ukweli wa pande zote mbili na anatoa ukweli huo kwa lugha ya kistaarabu sana. Yule msaidizi wake huwa anajua kuropoka tu na kulaumu tu.
 
Japo sielewi unaposema kuropoka unamaanisha nini lakini ngoja nikuache tu
 
Japo sielewi unaposema kuropoka unamaanisha nini lakini ngoja nikuache tu
Kuropoka ni kuzungumza bila kutumia busara; Mbowe haropoki na hajawahi kuropoka hata siku moja tangu aingine kwenye siasa.

Kwenye kampeini za 2005ilitokea akakebehiwa na Malecelea kuwa watu aliokuwa akipata kwenye mikutano yake ni kwa sababu walikuwa wanakwenda kuangalia helikopta tu; Mombe akajibu kuwa alifundishwa kutobishana na watu wenye umri zaidi yake. Jibu hilo likamfanya Malecelea asirudie kauli yake hiyo ya kebehi mpaka alipostaafu siasa.
 
Mwamba imara
 
Kuna Nchi gani hapa imewahi kumtaja kumheshimu??yaani Mbowe kuzurura tu hapo anaonekana kuheshimika,wewe utakuwa ni mke wake unapima upepo 😋
 
Kuna Nchi gani hapa imewahi kumtaja kumheshimu??yaani Mbowe kuzurura tu hapo anaonekana kuheshimika,wewe utakuwa ni mke wake unapima upepo 😋
Hatuna maneno sana na Team Jiwe ila tutawanyoosha safari hii
 
Mungu mbariki Mwamba

 
Heshima yake itakuwa ya maana pale chama kitakapo twaa madaraka!!vinginevyo atasahaulika kwenye medani za siasa Duniani!!
 
Waliomkashifu Mbowe waanza kupukutishwa huko walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…