Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

Sasa mkuu wewe unaonaje ukawa ndio Mwandishi wa vitu vya maana hapa JF ?
Hilo sio tatizo, tatizo linaanza pale nyie wasemaji wa vyama mnapoleta upofu kwenye vyama vyenu vinapofanya ujinga
 
Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .

View attachment 2834571
Kwenye CHADEMA namkubali sana Amani Golugwa. Huyu mzee wa kitambo sana kwenye mambo ya CHADEMA. Very low key na akili nyingi mno. Pia aliyekuwa diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro namkubali. Hawa wawili wako vizuri kisiasa. Huko Hanang msije mkafanya kosa la kumpa Lema nafasi ya kuongea. Anaweza kuropoka jambo mkaharibu nia njema ya mmiliki wa CHADEMA kutembelea wahanga
 
Na Ukada wangu naona hili ni jambo jema sana. Ile mitaa ni ngome zenu ni haki mkawafariji. Ila sasa na Mh. Rais nae si atakuwa huko tarehe 7,au ni maridhiano part two? Sijui kwanini wangeambatana ningefurahi. Acha nirudi usingizini,kesho nayo siku.
 
Wote Nyie n wapuuzi hakuna anayejitambua ndio maana Mm hua nawachana wote, yani ww na yule Lucas hamna tofauti wote nyie ni vichwa maji
Kunifananisha mimi Mwandishi bora wa Jukwaa la siasa ( Kwa Mujibu wa JF na Dunia ) na Mchumia tumbo Mwashambwa ni sawa na kunitukana matusi ya Nguoni
 
Kunifananisha mimi Mwandishi bora wa Jukwaa la siasa ( Kwa Mujibu wa JF na Dunia ) na Mchumia tumbo Mwashambwa ni sawa na kunitukana matusi ya Nguoni
Kwangu Mm, nyie hamna utofauti. Na hy tuzo pia n ya kinafiki umepewa na viongozi wa JF ambao ni chadema wenzako
 
Kama msemaji wa chauma,soon tutatoa ratiba ya kiongozi wetu ndugu Hashim Rungwe, hongera wadogo zetu Chadema kwa kutangulia
 
Back
Top Bottom