Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ww n mpumbavu tuuMatusi na Uchawi ndio nguzo ya Kapuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww n mpumbavu tuuMatusi na Uchawi ndio nguzo ya Kapuku
Kuna huyo Lucas mwashambwa na Erythrocyte wote hao ni wapumbavu tuu, muda wote ni kusifia vyama vyao hata wakifanya upumbavu. Hawana la maana la kufanya kwa watanzania zaidi ya kelele tuu pumbavu zao wote.Ni kama afanyavyo Lucas Mwashamba.
Ni haki yao maadam hawajavunja katiba.
Ukiona unachukia au kushangaa basi shida iko kwako.
Sasa mkuu wewe unaonaje ukawa ndio Mwandishi wa vitu vya maana hapa JF ?Kuna huyo Lucas mwashambwa na Erythrocyte wote hao ni wapumbavu tuu, muda wote ni kusifia vyama vyao hata wakifanya upumbavu. Hawana la maana la kufanya kwa watanzania zaidi ya kelele tuu pumbavu zao wote.
Hilo sio tatizo, tatizo linaanza pale nyie wasemaji wa vyama mnapoleta upofu kwenye vyama vyenu vinapofanya ujingaSasa mkuu wewe unaonaje ukawa ndio Mwandishi wa vitu vya maana hapa JF ?
Mimi siyo msemaji wa Chadema , ni mwandishi wa JFHilo sio tatizo, tatizo linaanza pale nyie wasemaji wa vyama mnapoleta upofu kwenye vyama vyenu vinapofanya ujinga
Mwandishi wa JF n yule anayeandika taarifa bila kuwa na upande fulaniMimi siyo msemaji wa Chadema , ni mwandishi wa JF
Kwa mfano kama yupi unayemjua wewe ?Mwandishi wa JF n yule anayeandika taarifa bila kuwa na upande fulani
uliyemtaja dishi limeyumba/kipa katoka yeye vyama vyooote 22 anaweweseka na chadema tuuTumkaribishe na Lucas Mwashamba aambatane na msafara wa mwenyekiti 🤪
Kwenye CHADEMA namkubali sana Amani Golugwa. Huyu mzee wa kitambo sana kwenye mambo ya CHADEMA. Very low key na akili nyingi mno. Pia aliyekuwa diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro namkubali. Hawa wawili wako vizuri kisiasa. Huko Hanang msije mkafanya kosa la kumpa Lema nafasi ya kuongea. Anaweza kuropoka jambo mkaharibu nia njema ya mmiliki wa CHADEMA kutembelea wahanga
Wote Nyie n wapuuzi hakuna anayejitambua ndio maana Mm hua nawachana wote, yani ww na yule Lucas hamna tofauti wote nyie ni vichwa majiKwa mfano kama yupi unayemjua wewe ?
Kunifananisha mimi Mwandishi bora wa Jukwaa la siasa ( Kwa Mujibu wa JF na Dunia ) na Mchumia tumbo Mwashambwa ni sawa na kunitukana matusi ya NguoniWote Nyie n wapuuzi hakuna anayejitambua ndio maana Mm hua nawachana wote, yani ww na yule Lucas hamna tofauti wote nyie ni vichwa maji
Kwangu Mm, nyie hamna utofauti. Na hy tuzo pia n ya kinafiki umepewa na viongozi wa JF ambao ni chadema wenzakoKunifananisha mimi Mwandishi bora wa Jukwaa la siasa ( Kwa Mujibu wa JF na Dunia ) na Mchumia tumbo Mwashambwa ni sawa na kunitukana matusi ya Nguoni
Naachana rasmi na wewe moja kwa moja , uende kwa amaniKwangu Mm, nyie hamna utofauti. Na hy tuzo pia n ya kinafiki umepewa na viongozi wa JF ambao ni chadema wenzako
Sawa sawa kipofu wa chadema, huoni husikiiNaachana rasmi na wewe moja kwa moja , uende kwa amani
Hii kauli huwa ni ya Kipumbavu!Nchi itasimama
Kubwa la matapeliHongera zake mwamba huyu hapaView attachment 2834868
Hapana haendi ziara kuuza sura anaenda kutoa pole, usiganye ziara kwa wafiwa hawatakuelewa watakuona umekwenda kuwasanifu.Asante kwa taarifa, hii ni ziara muhimu
P