Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. ccm hawafai hata kidogo.
Hapo bado kura bandia.
 
"I'm burning up. This should be met with fire and furry". ..Donald Trump.
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki

Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
kama mwenyewe hauna maendeleo kwenye fikra zako unataka nini tena???Kwanini wajumbe walimkata mbunge wangu Dr Harrison Mwakyembe kama kweli CCM maendeleo sio shida?Pumbavu kabisa ,jini la kijani wewe
 
Millions of polling stations? Mbona hajataja vijulikane?

Wameanza kutafuta defense mechanism!
Wewe hujui kwamba kuna wanafunzi wengi wa shule za serikali za sekondari wenye umri chini ya miaka 18 wamepewa vitambulisho vya kupigia kura?
 
Wewe hujui kwamba kuna wanafunzi wengi wa shule za serikali za sekondari wenye umri chini ya miaka 18 wamepewa vitambulisho vya kupigia kura?
Sijui aisee, ndiyo nasikia kwako fafanua!
 
Mimi napinga uonevu ndugu. Na nina akili timamu.
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki

Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
Sisi na nani panya weweee?? Sema wewe!!! Pumbavu....
 
Wakati unasaini fomu za kugombea hukuyaona hayo?

Uwoga wa kushindwa ni mbaya kama dudu kushindwa kusimama Kwa demu, uanaume woote kwishine,
Ndicho Chadema kimewashika
Kwenye uchaguzi huu hata ccma watatamani Tume ingekuwa huru..

Hamtaamini macho yenu kwa ujinga uliokomaa kwenye vichwa vyenu
 
Majeshi yasiyokuwa na Insignia yamwagwa Zanzibar
 
Viongozi wa dini wengi ni wapumbavu,wajinga kila mtu mwenye akili yake timamu anawazalau
 
Typing error zipo mkuu, ukiangalia kwa makini hizo ni taarifa sio za kwenye kadi moja kwa moja, zimeprintiwa ktk karatasi sambamba na picha ya mtu hivyo kuna uwezekano wamekosea kutype na kuprint...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…