Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Wameshikwa pabaya lakini hamna linaloshindikana kwa Mungu
 
Kama kawaida chadema hawacommunicate na wapiga kura bali bwana zao.maana kama ingekuwa hivyo wangekuwa wanatumia lugha ya watanzania. Nakumbuka wakati wa lockdown bwana huyu alikuwa anajifungia kutubagaza kwa lugha hii gongana sasa sijui barakoa na gloves nyeusi kazitupa wapi. Chadema hampo kwa maslahi yetu watanzania. Mtatuuza
 
Nawewe kumbe ni mpiga kura hewa tu. Kwani uwezo wa kutumia lugha kujibu mitihani au kuandika paper utaenda na uwezo wa lugha kweny kuongea? Ni vitu viwil tofauti kabisa.

Mashuleni tumekuwa na watu wanauwzo mkubwa kujieleza kwa hiyo lugha ya kigeni lakini uwezo wao academically ulikua hafifu, na wapo walikua na uwezo mdogo kutumia hiyo lugha kujieleza na walikua na performance nzuri kabisa

Elimu yako ni kiwango gani? Ngumbaru au? Yaani ufaulu masomo yanayo fundishwa kwa Kiingereza vizuri wakti lugha ya Kiingereza chenyewe hukijui....?????Sijawahi ona! It's unbelievable!!
Natilia shaka sana elimu uliyo nayo!!!
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.


Hahahahahaa propaganda hizi, mshashindwa tayari! Kura zote ni kwa ccm!
 
Upinzani subirieni tu kura mtakazopewa na tume . Hakuna namna nyingine
 
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga
Kigoma kuna Mtu nasikia amechanganyikiwa baada ya mbinu zake kuvulugwa. Mkakati wake ulikuwa ni kutumia fedha kutengeneza nyomi kwenye Mkutano, kwa kuuagiza uongozi wa kata wa Act wazalendo kuhakikisha wanapatawwatu wasiopungua 100 na kila mmoja alipwe hongo kuanzia 5,000 hadi 10,000 .
Lengo lake likiwa ni kuwaadaa Wanakigoma kwamba anakubalika wakati Hali halisi anajua kwamba Kigoma wamemchoka.

Na baada ya kuona amefeli mbinu ikambidi aanze kampen ya nyumba kwa nyumba ambako pia amekataliwa (Watu wanamsikiliza lakini Lengo likiwa ni kupata kianzio.

NB: ZITTO KABWE AANZE KUPAPARIKA MPAKA MIRADI ALIYOENDA BENKI YA DUNIA KUSHINIKIZA ISITEKELEZWE TANZANIA ANAJITAPA KUWA NDIYE ALIYEITEKELEZA. ZITTO KABWE KIGOMA WAMEKUKATAA TAFUTA SHUGHULI NYINGINE.

ZITTO KABWE MIRADI YAKO YOTE IPO ZANZIBAR, WAKE WAKE WOTE WAPO ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM, ZITTO KURA AMEJIANDIKISHA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI, MAWAKALA WAKE AMEWACHUKUA KIGOMA KASKAZINI AKIDAI WA KIGOMA MJINI HAWAAMINI WAKATI ANAWATUMIA KUOMBA KURA.
KWA UJUMLA ZIGO AMECHANGANYIKIWA VIBAYA SAAANA
 
Ni mahali pazuri pa kusimamisha mambo ili haki itendeke hatuwezi kuruhusu uchaguzi wa kijinga namna hii, mara kuenguliwa, mara kuziwa kuapishwa mawakala, mara vituo hewa, hapana sasa basi...
 
Nchi hizi ziitwazo shithole zina maudhi sana. Kama hawataki kutoka madarakani kwa njia ya uchaguzi, wanafanya uchaguzi wa nini. Watoke kwenye udikteta uchwara wawe madikteta kamili ijulikane.


Yesu ni Bwana na Mwokozi.
Shithole countries with shithole leaders to
 
Kuna video mitandaoni inaonyesha wanajeshi wamesambazwa mitaani huko Zanzibar.
Hao wanajeshi nawahurumia sana uko zanzibar. Maana kwanza ni kisiwani. Kipigo watakachopata sijui wataweza kupiga mbizi kurudi bara!
 
Back
Top Bottom