Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.


Duu! Au ndo maana wameanza kuwatisha waangalizi wa uchaguzi! Huyo dogo hata kwa macho tu utajua umri wake kazaliwa kati ya 1993 -1995, Eti ni mwaka 1949!
 
I hope one day you will understand that "English is a Language and not a measure of Intelligent"
Intelligence = Intelligence. Mastering English after learning it for a large number of years is certainly a measure of intelligence. The issue, though, is to disprove that the evidence shown above signifies ghost voters. Does it not?
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.


Aisee 🤣😅 watu wana maajabu mtu unaona kabisa ni mzee ila amezaliwa mwaka 2001 mwingine anaitwa mwanaisha lakini ni mwanaume 🙌🙆🤣😂
 
Chadema washaliona anguko lao wanatafuta kwakujifichia.
Magufuli kiongozi mzalendo tuvushe 5 nyingine.
Hakuna Mwenye akili timamu ambae anaweza kuacha kuchagua mzalendo Magufuli akachague kibaraka wa mabeberu Lissu ili kutawanya madini yetu na kutuhalalishia ushoga.
 
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Na mwisho wa uongo wa NEC ni lini.

C616320C-1489-4405-BD0C-E5DBB4D33A8E.jpeg
 
What kind of Intelligent are you talking about? Can you really understand things without knowing the language of study/ learning??
You must be kidding!!
Nawewe kumbe ni mpiga kura hewa tu. Kwani uwezo wa kutumia lugha kujibu mitihani au kuandika paper utaenda na uwezo wa lugha kweny kuongea? Ni vitu viwil tofauti kabisa.

Mashuleni tumekuwa na watu wanauwzo mkubwa kujieleza kwa hiyo lugha ya kigeni lakini uwezo wao academically ulikua hafifu, na wapo walikua na uwezo mdogo kutumia hiyo lugha kujieleza na walikua na performance nzuri kabisa
 
Tz inaangamizwa na kikundi cha waovu wachache, lakini siku zao zaja.
Kigoma kuna Mtu nasikia amechanganyikiwa baada ya mbinu zake kuvulugwa. Mkakati wake ulikuwa ni kutumia fedha kutengeneza nyomi kwenye Mkutano, kwa kuuagiza uongozi wa kata wa Act wazalendo kuhakikisha wanapatawwatu wasiopungua 100 na kila mmoja alipwe hongo kuanzia 5,000 hadi 10,000 .
Lengo lake likiwa ni kuwaadaa Wanakigoma kwamba anakubalika wakati Hali halisi anajua kwamba Kigoma wamemchoka.

Na baada ya kuona amefeli mbinu ikambidi aanze kampen ya nyumba kwa nyumba ambako pia amekataliwa (Watu wanamsikiliza lakini Lengo likiwa ni kupata kianzio.

NB: ZITTO KABWE AANZE KUPAPARIKA MPAKA MIRADI ALIYOENDA BENKI YA DUNIA KUSHINIKIZA ISITEKELEZWE TANZANIA ANAJITAPA KUWA NDIYE ALIYEITEKELEZA. ZITTO KABWE KIGOMA WAMEKUKATAA TAFUTA SHUGHULI NYINGINE.

ZITTO KABWE MIRADI YAKO YOTE IPO ZANZIBAR, WAKE WAKE WOTE WAPO ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM, ZITTO KURA AMEJIANDIKISHA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI, MAWAKALA WAKE AMEWACHUKUA KIGOMA KASKAZINI AKIDAI WA KIGOMA MJINI HAWAAMINI WAKATI ANAWATUMIA KUOMBA KURA.
KWA UJUMLA ZIGO AMECHANGANYIKIWA VIBAYA SAAANA
 
Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
Hiki tu ndio mnachokiweza!

Kwa miaka yote 5 mlichofanikiwa bavicha ni kujadili kingereza cha jiwe basi!
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki


Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
Acheni wizi nyie mliokataliwa na wananchi.

Sasa wananchi tumechoka kabisa kitaeleweka huu mwaka.

Subiri week ijayo.
 
Back
Top Bottom