Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Kwa kura mtasubiri Sana wapinzani
Poleni kwa kuchoka kwa kampeni
100% wabunge na madiwani ni CCM
Rais 95 %
Kama kura inaweza kuitoa CCM madarakani basi Maalim Sefu angekua Rais Tangu 19 95
Poleni
Tuache siasa
Turudi kwenye maisha yetu ya kawaida
Kweli nawaonea huruma waliopoteza muda na pesa kwenye IMPOSSIBLE MISSION!!
I wish mgemsikiliza polepole kuhusu uchaguzi huru
Msikae mkachekelea,siku violence ikiwa the only option wote tutkuwa kwenye wakati mgumu!
 
mwaka huu kitanuka
zittokabwe-___CGrQ5YtB2-S___-.jpg
 
Trump n bwana ako kwn ukitukwana na Trump we unaumia nn
Mkuu tuheshimiane sijakutukana sawa, na sio wote tunapenda matusi mm nimemquote huyo jamaa aliyesema, sio watu wote wa aina moja kupenda kujibizana au matusi
 
sasa kama kwenye wapiga kura 500,000 mnasema mmekosea je huku bara?vipi kituo hewa ibanda nyegezi alichokamata pambalu jana?vya misungwi je?dah inakatisha tamaa sana kwa kweli
duuuh.JPG
 
Mwaka huu mtajua hamjui Kwani Mbowe ni mkiti wa Zanzibar tu, use your common sense.



Huo ni Uongo na propaganda feki, isitoshe kwa ushahidi ulio wazi kiasi hicho kwa nini wasiende Tume ya Uchaguzi moja kwa moja wanakimbilia twira?
 
Hii ni hatari sana! Kuna watu wanaona kama jambo jepesi na la kawaida, lakini huko tuendako sioni njia!
Kuna haja gani ya kutumia zaidi ya 300 Bilns kugharamia uchaguzi wa kuonyesha tu ulimwengu kuwa uchaguzi umefanyika akati uchaguzi wenyewe ni kiinimacho!???
 
Hata ukimuweka dictionary nne bado haelewi labda azichemshe halafu anywe maji yake,kisha atafutwe na mkalimani akae nae wiki nzima ndo ataelewe.

"Pipo yuzidi tu dai ini ze reki"
Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
 
Poleni Sana wapinzani
Sijui mtajifunza lini...
Huu ni uchaguzi wa 6 wa viama vingi kila mtu anajua Mara zote 5 CCM hatujawahi kushinda Zanzibar na tumeongoza miaka yote
Wallah nilikua nawaonea huruma mnavyojazana kwenye mikutano ya kampeni
 
Mbowe nawe unavichekesho kweli! leo ndo unastuka kuwa kuna wapiga kura hewa? ukustuka siku waliposema watu waliojiandkisha mil 28. hapo ndo tatizo lilipoanzia.
 
Poleni Sana wapinzani
Sijui mtajifunza lini...
Huu ni uchaguzi wa 6 wa viama vingi kila mtu anajua Mara zote 5 CCM hatujawahi kushinda Zanzibar na tumeongoza miaka yote
Wallah nilikua nawaonea huruma mnavyojazana kwenye mikutano ya kampeni
Kwa hiyo mkuu unashauri Nini kifanyike
 
Huo ni Uongo na propaganda feki, isitoshe kwa ushahidi ulio wazi kiasi hicho kwa nini wasiende Tume ya Uchaguzi moja kwa moja wanakimbilia twira?
Nani kakwambia hawajaenda NEC mbona unakuwa kama hujaenda shule.
 
Mapombe , don't being cowardice now it time to return back on your root uchatoni
 
By the 28th of this month, Chadema will have fabricated more than 1.M, za uwongo kuhusu uchaguzi huu

And those are false reasons Since Mbowe himself is not sure in his constituency

Mimi nilijua tu, Kwa mwelekeo walionao Chadema tangu mwanzoni tu wa Kampeni zao na jinsi walivyokuwa na matamanio makubwa zaidi kuliko uhalisia, lazima walete mizengwe ya uwongo tu, vile wanajua kuna Beberu aliyeko nyuma Yao

Lengo Lao sio uchaguzi tena
Kwahiyo we we huoni na ushahidi kila mmoja anaona. Nikipi ulichokuwa huamini?
 
Back
Top Bottom