Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Kwani Zanzibar hawapigi kura za JMT.

Sasa kama alimaanisha Zanzibar kwa nini amesema (Mbowe) ,, mamilioni ya wapiga kura hewa '''? Zanzibar mamilioni ya wapiga kura yanatokea wapi wakati idadi ya Wazanzibari wote haifiki milioni1.5?
 
By the 28th of this month, Chadema will have fabricated more than 1.M, za uwongo kuhusu uchaguzi huu

And those are false reasons Since Mbowe himself is not sure in his constituency

Mimi nilijua tu, Kwa mwelekeo walionao Chadema tangu mwanzoni tu wa Kampeni zao na jinsi walivyokuwa na matamanio makubwa zaidi kuliko uhalisia, lazima walete mizengwe ya uwongo tu, vile wanajua kuna Beberu aliyeko nyuma Yao

Lengo Lao sio uchaguzi tena
"Chadema will have fabricated more than 1.M,"
Ulisoma ulichokiandika kabla ya kubonyeza kitufe cha kutuma?
 
Magufuli ni mvurugaji manipulator mzoefu wa uchaguzi toka enzi akiwa mbunge huko biharamulo na badae chato.
Hii tabia kwake ni kama aliyekula nyama ya binadamu. Sidhani kama ataiacha.

Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Subirini badi mtaendelea kuona uhuni mwingi uchaguzi huu.
Safari hii kishakwama
 
Sasa kama alimaanisha Zanzibar kwa nini amesema (Mbowe) ,, mamilioni ya wapiga kura hewa '''? Zanzibar mamilioni ya wapiga kura yanatokea wapi wakati idadi ya Wazanzibari wote haifiki milioni1.5?
Endeleeni kucheza na amani.

 
Nchi hizi ziitwazo shithole zina maudhi sana. Kama hawataki kutoka madarakani kwa njia ya uchaguzi, wanafanya uchaguzi wa nini. Watoke kwenye udikteta uchwara wawe madikteta kamili ijulikane.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Ivi ndo Mana Trump alitutukana kwa sababu ya Mambo Kama haya eti
 
CCM wanataka kuondoka kwa shari..... hii ni aibu ya mwaka kwa NEC hii.
 
Mkuu haya mambo yanakera ndiyo ukute watu wanakesha kusema tunaomba amani huku wakiacha HAKI ijipotelee.

Hi imejaa ujinga mwingi sana. Bila shaka hii itakuwa LAANA YA BABA WA TAIFA. Nimefuatilia maneno ya Viongozi wa Dini kwenye Kampeni za Magufuli wanachoomba ni MAGUFULI AWE RAIS...What a non-sense? Badala ya kuombea Uchaguzi uwe Huru na Haki na kuiombea NEC itende haki bila upendeleo wao wanalaani Wapinzani kuwa ndio watasababisha vurugu...Akili za matope!!
 
Back
Top Bottom