Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

CCm wanaelewa bila uchafu na ushetani huu kamwe hawawezi kushinda sehemu nyingi! Mbowe pambana kwa nguvu zako zote na siku zote 'shetani hajawahi kushinda mbele ya malaika'. hata akishinda utawala wake ni wa muda mfupi na uliojaa dhambi na utumwa!
 
Vyama vingi havitafutwa ila Chadema ndio itafutika

Ni bora hashim rungwe awe Rais kuliko yule aliyetumwa na Mabeberu kutoka ubeligiji
Ndugu yangu,
Nyie ndio wenye serikali mbona ilikuwa ni ishu ndogo tu kufuta vyama vingi?
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

Hii ni aibu kwa chama chetu,mwenyekiti analalama bila ya ushahidi?
 
By the 28th of this month, Chadema will have fabricated more than 1.M, za uwongo kuhusu uchaguzi huu

And those are false reasons Since Mbowe himself is not sure in his constituency

Mimi nilijua tu, Kwa mwelekeo walionao Chadema tangu mwanzoni tu wa Kampeni zao na jinsi walivyokuwa na matamanio makubwa zaidi kuliko uhalisia, lazima walete mizengwe ya uwongo tu, vile wanajua kuna Beberu aliyeko nyuma Yao

Lengo Lao sio uchaguzi tena
 
"last kicks of a dying horse..."
Hivi farasi anayekufa hapa ni nani?
Kuna clip moja inakuhusu wewe wakati ule ukiwa Chadema ukizungumzia uharamia wa CCM na kuwa ni waovu kuliko uovu wenyewe.

Nimeitafuta kwenye archives zangu hapa sijaiona,pengine nimeiacha huko nyumbani. Nikiipata nitaiweka hadhari utupe maoni yako.
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

No research no right to speak! Sijui wenzetu mnakwama wapi! Kwa nafasi kubwa hivyo ya Mkt wa Chadema Taifa nilitegemea aje na orodha ya wapiga kura hewa au vituo hewa!! Sasa mbona unalialia baba bila data??

Naishauri TUME mtu akiwashutumu aje na Data na akiwa muongo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria maana analeta taharuki isiyokuwa ya msingi na anataka kuichafua nchi.

Queen Esther
 
Back
Top Bottom