Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

This time watashika adabu kende kwa kende jicho kwa jicho wezi wakubwa mwaka huu wanang'oka

Yaani wakimwaga mboga tunamwaga ugali bora wote tufe njaa kutoka kwa Mabeberu pumbavu kabisa
 
Hii ni aibu kwa chama chetu,mwenyekiti analalama bila ya ushahidi?
Unataka ushahidi wote uwekwe JF,

2174153C-E65F-4AA3-9578-804FDB146F22.jpeg
 
Bila kuwa na mawakala kila kituo na kutumia orodha iliyobandikwa kila kituo kutatokea udanganyifu mkubwa
Kila wakala ni lazima awe na nakala ya matokeo halisi kwenye kila kituo
Tarajia mawakala wa upinzani kuchomolewa vituoni kwa mitutu na polisi.
 
Kwa kura mtasubiri Sana wapinzani
Poleni kwa kuchoka kwa kampeni
100% wabunge na madiwani ni CCM
Rais 95 %
Kama kura inaweza kuitoa CCM madarakani basi Maalim Sefu angekua Rais Tangu 19 95
Poleni
Tuache siasa
Turudi kwenye maisha yetu ya kawaida
Kweli nawaonea huruma waliopoteza muda na pesa kwenye IMPOSSIBLE MISSION!!
I wish mgemsikiliza polepole kuhusu uchaguzi huru
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki


Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
Mbowe anaweweseka nini angalia mpiga kura Mkenya hapo......hili daftari mmelichezea mpaka basi......mkuu jiandae
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    13.9 KB · Views: 1
Ndio maana ilitolewa nafasi ya Wananchi kwenda kurekebisha taarifa ili hayo yasitokee. kama hukwenda kurekebisha taarifa zako hakuna wa kulaumiwa.
Kama mtu hakwenda kurekebisha ndio mkenya apewe nafasi yake.
 
Vyama vingi havitafutwa ila Chadema ndio itafutika

Ni bora hashim rungwe awe Rais kuliko yule aliyetumwa na Mabeberu kutoka ubeligiji
Why are you flooding our JF servers with your nonsense comments?
Are you a "bot" trying to attack JF with DDoS!!??
This time you will not succeed on taking us down.
 
Haka ka nyuzi kamejaaa wapumbavu wasiojielewaaa kuwa ni me au ke maan naon watu wanachangia upumbavu kabisa wakat wanajua hali halisi kua kijan ni wapuuzi
 
Back
Top Bottom