Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

By the 28th of this month, Chadema will have fabricated more than 1.M, za uwongo kuhusu uchaguzi huu

And those are false reasons Since Mbowe himself is not sure in his constituency

Mimi nilijua tu, Kwa mwelekeo walionao Chadema tangu mwanzoni tu wa Kampeni zao na jinsi walivyokuwa na matamanio makubwa zaidi kuliko uhalisia, lazima walete mizengwe ya uwongo tu, vile wanajua kuna Beberu aliyeko nyuma Yao

Lengo Lao sio uchaguzi tena
Hali hii unatokana na kutokuaminika kwa TUME iliyopo. Ili kuondoa hali hiyo muundo wa TUME unatakiwa uridhiwe na wadau wengi wa uchaguzi yaani kuwe na Tume ambayo kila Chama kitakuwa na Imani nayo kimuundo.
 
Wakati unasaini fomu za kugombea hukuyaona hayo?

Uwoga wa kushindwa ni mbaya kama dudu kushindwa kusimama Kwa demu, uanaume woote kwishine,
Ndicho Chadema kimewashika
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki

Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
Si unaona Mbowe kaandika kiingereza anawaandikia wazungu

Safari hii hawa wagombea wa wazungu lazima tuwafungashe virago .Si unaona hiyo meseji ni kwa wazungu sisi lugha yetu ya taifa kiswahili

Lisu mbelgiji na chama chake cha Chadema chenye sera za kizungu hatuwataki .
October 28 wazungu wajiandae wagombea wao Chadema hatuwataki
 
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki

Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
umewachoka chadema wewe na mmeo?!.
mbona mie na mke wangu hatujawachoka na lakini umetuhusisha pia.
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

Maneno matupu... Mzee wa kubadili gia angani anaona jimbo halielewek urais ndo hamna kabsa!!.. hana pa kushika,, sasa hapa kizunguzungu tayar kimempanda!! Sjuw kujitoa,,!! Bora vurugu tu...
 
No research no right to speak! Sijui wenzetu mnakwama wapi! Kwa nafasi kubwa hivyo ya Mkt wa Chadema Taifa nilitegemea aje na orodha ya wapiga kura hewa au vituo hewa!! Sasa mbona unalialia baba bila data?? Naishauri TUME mtu akiwashutumu aje na Data na akiwa muongo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria maana analeta taharuki isiyokuwa ya msingi na anataka kuichafua nchi.

Queen Esther
Ulitaraji wapiga kura hewa milions wote awaandike Twitter, use your common sense.
 
“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

I am concerned that if election officials do not take these steps, Tanzania’s democracy will lose credibility in the eyes of the international community. More important, the declared winner may lack legitimacy in the eyes of Tanzanians themselves.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 22 October, 2020 | Topics: Op-Eds, Press Releases
 
Nadhani kidd2014 anawapoteza, Ndio anaye waambia hayo Mambo ilimradi waharibu Uchaguzi
Basi kigogo ni ana nguvu kumzidi rais kawaambia hadi NEC waharibu daftari na wakamsikiliza.

8D08B812-3FBC-4790-84E1-FBF26E65243D.jpeg
2A11C3E9-C884-40C5-A7D1-4165FC7AC62A.jpeg
149A2042-1E7B-4584-96B6-C469D268CBD7.jpeg
D8DC6816-506D-4664-9761-4E49C3FC69FC.jpeg
2B8A37D5-1F83-4B90-A4E1-3FDBC8C7DEBE.jpeg
 
I hope one day you will understand that "English is a Language and not a measure of Intelligent"

What kind of Intelligent are you talking about? Can you really understand things without knowing the language of study/ learning??
You must be kidding!!
 
Ndio maana ilitolewa nafasi ya Wananchi kwenda kurekebisha taarifa ili hayo yasitokee. kama hukwenda kurekebisha taarifa zako hakuna wa kulaumiwa.
 
Bila kuwa na mawakala kila kituo na kutumia orodha iliyobandikwa kila kituo kutatokea udanganyifu mkubwa
Kila wakala ni lazima awe na nakala ya matokeo halisi kwenye kila kituo
 
Back
Top Bottom