Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Kuna video mitandaoni inaonyesha wanajeshi wamesambazwa mitaani huko Zanzibar.
Mbowe acha kuweweseka sisi Watanzania tumewachoka Chadema hatuwataki
Majimbo tuliwachagua mmetuchelewesha maendeleo, tunarudi kuichagua Ccm wanaotujali
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji3064][emoji23]Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
I hope one day you will understand that "English is a Language and not a measure of Intelligent"Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
Kidd2014 ndio nini?Nadhani kidd2014 anawapoteza, Ndio anaye waambia hayo Mambo ilimradi waharibu Uchaguzi
unaona nongwa kwa Lissu?Nyie endeleeni kudanganywa na msaliti wa Nchi Lissu
Magu hawezi elewa hicho kinglish labda umuwekee dictionary nne na awe amelewa
Ndugu yangu,
Nyie ndio wenye serikali mbona ilikuwa ni ishu ndogo tu kufuta vyama vingi?
Hii ni aibu kwa chama chetu,mwenyekiti analalama bila ya ushahidi?“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.
Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.
Huo ni uwongo unatengenezwa na Chadema kwa kuwa wanajua October Watanzania watawakataa
Hivi farasi anayekufa hapa ni nani?"last kicks of a dying horse..."
No research no right to speak! Sijui wenzetu mnakwama wapi! Kwa nafasi kubwa hivyo ya Mkt wa Chadema Taifa nilitegemea aje na orodha ya wapiga kura hewa au vituo hewa!! Sasa mbona unalialia baba bila data??“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.
Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.