Mh. Makonda atawafaa, maana ndani ya CCM ni REJECT; kwa sasa anaishi kama digidigi kwenye pori lenye Simba wengi.Mh Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 atastaafu uenyekiti. Ni nani unadhani atafaa kumrithi hiyo kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Makonda atawafaa, maana ndani ya CCM ni REJECT; kwa sasa anaishi kama digidigi kwenye pori lenye Simba wengi.Mh Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 atastaafu uenyekiti. Ni nani unadhani atafaa kumrithi hiyo kazi?
Huu Uzi nilikutafuta sana,mbowe must goHii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .
SASA HIVI UNASEMAJE?Hii ndiyo Taarifa mpya aliyoisambaza leo katika vikao vya Operesheni Haki vinavyoendelea
Taarifa zaidi zinafuatia .