Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Kiukweli, hata huyo mmoja Magu aliagiza atangazwe ili kuogopa aibu kwamba iweje CHADEMA wasiwe na mbunge hata mmoja. Orijino plani ilikuwa CHADEMA asiachiwe hata mbunge mmoja. CUF walimwachia Lipumba mbunge mmoja kama zawadi kwa kumvuruga Maalim Seif. Magu ni mkarimu sana.Intact wakati ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa? Nafikiri ubongo wako haufanyikazi vizuri nenda kwa daktari ukatibiwe!
Licha ya mbunge huyo feki, na zile feki zingine 19, CHADEMA hata ruzuku hawaitaki. Hapo ndipo utaona uimara wa CHADEMA. Hakina wabunge wala ruzuku lakini inatisha.
Si kweli kwamba CHADEMA hawakupata wabunge, licha ya wengine wengi kuenguliwa kwa mbinu chafu za wizi na uporaji. Lakini ushahidi wa nguvu za CHADEMA wote tutauona wazi wazi muda muafaka. Stay tuned.