Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Sijawahi kuiona dhamira yako ya dhati katika yale uyasemayo.Kamanda tumia akili, mtu kusema kweli ndio amekuwa mtu wa Ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuiona dhamira yako ya dhati katika yale uyasemayo.Kamanda tumia akili, mtu kusema kweli ndio amekuwa mtu wa Ccm?
Sio tu kuruta waweza sema mamluki,Kaa hapo, hivyo vyama vingine ambavyo havikuongozwa na Mbowe vina hali gani kwa sasa? Mbowe ndiye kamanda wa ukweli,wewe ni kuruta tu.
ccm bana! mtahangaika sana na CHADEMA. CHADEMA sio Mbowe bali ni imani.Kwa miaka ishirini na kitu hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kugeuza chama chetu kama mali yake binafsi...
Akiachia tu ngazi mtegemee Chadema kuwa wiped out of the map ya politics kama NCCR ilvyo sasa!!! Ni ukweli Mbowe anakipaisha sana chama. he is a very strong leader, hamtapata kama huyo. Wengine wote nyie wachumia tumbo tu. Lissu ana papara sana hafai bado kuwa kiongozi. huyo anafaa kuwa mwanaharakati tu!!!Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023
Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Sabaya kamtesa sana lakini yeye kimya!! Hata sasa hajakurupuka kufurahia sabaya akiwa ndani!! Yuko very composed huyu mtu. Kifo cha mwendazake alisikitika na kutoa pole kwa familia na wote walioguswa.All the best kwake, mchango wake I can't explain hapa; nia yake, dhamira, utashi, hekima, uvumilivu (kakoswa na mabomu Soweto Arusha, risasi Mkwajuni Dsm). damn the list is endless. I am really proud of this guy.
Chadema ilipata Mwenyekiti the best ever, wamepiga kelele mwizi, sijui nini... but hakuna yeyote kati yao aliyethubutu kwenda mahakamani, Mbowe aliwaburuza wakaburuzika, walitaka kumuondoa kwa namna zote wakashindwa, leo ameamua kuondoka mwenyewe.
#Mwambahalisi.
lkn chama hakina mizizi chini kwa wananchi kimekuwa chama cha mitandaoni !? .. Ni htr kutegemea siasa za "mabomu" : ambayo Jpm aliuyageuza " utendaji" na kukiacha chama bila mtaji wa kisiasaAll the best kwake, mchango wake I can't explain hapa; nia yake, dhamira, utashi, hekima, uvumilivu (kakoswa na mabomu Soweto Arusha, risasi Mkwajuni Dsm). damn the list is endless. I am really proud of this guy...
Nguvu unayoitumia , KWA chadema ielekeze kwa chama chako ccm itakisaidia chama chakoKamanda tumia akili, mtu kusema kweli ndio amekuwa mtu wa Ccm?
I agree with you 100% hana mihemuko kabisa, Mbowe what a man, Mbowe safi sana, hajawa influenced na siasa za mitandaoni kabisa tofauti na hawa waliopo.Sabaya kamtesa sana lakini yeye kimya!! Hata sasa hajakurupuka kufurahia sabaya akiwa ndani!! Yuko very composed huyu mtu. Kifo cha mwendazake alisikitika na kutoa pole kwa familia na wote walioguswa!!! Under normal circumstances za kidunia ungetegemea afurahie na kushangilia kama walivyofanya wapuuzi wengi, but no!!! Alisikitika!! Compare comments za Lissu na Mbowe kuhusiana na kifo cha Mkuu wa kaya!!!! CDM hawatapata kiongozi kama huyu. Ni ukweli usiopingika Mbowe amekifanya chama kikubalike nchini!!!
Chama hakina mizizi chini kivipi wakati CCM walichakachua mpaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Chadema wako vizuri, ni mazingira ya kisiasa yasiyo sawa ndio yanawafanya waonekane hawako vizuri kwa watu wasioona mbali kama wewe ndugu.lkn chama hakina mizizi chini kwa wananchi kimekuwa chama cha mitandaoni !? .. Ni htr kutegemea siasa za "mabomu" : ambayo Jpm aliuyageuza " utendaji" na kukiacha chama bila mtaji wa kisiasa
siko huko ndg, cdm haina matawi chini , siasa zinaanzia kwenye mashina hakuna short cut - lzm yawepo matawi kindaki ya chama yenye nguvu..umenipata muona mbaliChama hakina mizizi chini kivipi wakati CCM walichakachua mpaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Chadema wako vizuri, ni mazingira ya kisiasa yasiyo sawa ndio yanawafanya waonekane hawako vizuri kwa watu wasioona mbali kama wewe ndugu.
Uhakika wa kauli yako ni upi? Je unaweza weka ushahidi wa hilo usemalo?Ulichojibu hakiendani na swali.
Kwa mujibu wa mshabiki wajinga wa chadema ni kwamba Mbowe akitoka kwenye hiyo nafasi wengine watauza chama na kukiua.
Mbowe katangaza kung'atuka 2023. Swali, je mwisho wa chadema ni 2023?
Umeanza kufuatilia siasa za chadema lini?Uhakika wa kauli yako ni upi? Je unaweza weka ushahidi wa hilo usemalo?
Angatuke tuuMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023
Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Kabisa mkuu!!!I agree with you 100% hana mihemuko kabisa, Mbowe what a man, Mbowe safi sana, hajawa influenced na siasa za mitandaoni kabisa tofauti na hawa waliopo.
Kabisa mkuu!!!
Alazimishwe, atake asitake mpeni mitano tena
Yale mabegi meusi yalikuwa ni ya Halima Mdee. Alipotakiwa ayatoe gizibiti akayachoma moto kuokoa printing press ya CHADEMA iliyoko Bunju BKwa zile kura za kwenye mabegi meusi, tiki kwa wagombea wa CCM ziliwekwa kwenye ofisi za SM, mabegi yakafichwa kwenye vituo vya polisi.
Pandikizi? Siyo pandikizi, ni mrithi halisi. Godbless Lema ni mtu wa kwetu Hai, kasoma kuliko Mbowe (nadhani ni CPA). Halafu ana kauzalendo fulani, kuna wakati alimkandia Waziri wa Uwekezaji kwa kuleta briefcase investors kwa MS PowerPoint presentations. Akirudi mie nitampa kisale, huu ni mti Wachagga hupeana kutaka suluhu. All in all, Lema ni mwenzetu.Pandikizi la wapi tena?
Jibu ndio hilo, kwamba hata Mbowe akiondoka, CHADEMA bado ngangari. Wanaotabiri kifo cha CHADEMA wanajidanganya. CHADEMA ina misingi imara sana.Ulichojibu hakiendani na swali.
Kwa mujibu wa mshabiki wajinga wa chadema ni kwamba Mbowe akitoka kwenye hiyo nafasi wengine watauza chama na kukiua.
Mbowe katangaza kung'atuka 2023. Swali, je mwisho wa chadema ni 2023?
Sabaya kamtesa sana lakini yeye kimya!! Hata sasa hajakurupuka kufurahia sabaya akiwa ndani!! Yuko very composed huyu mtu. Kifo cha mwendazake alisikitika na kutoa pole kwa familia na wote walioguswa.
Under normal circumstances za kidunia ungetegemea afurahie na kushangilia kama walivyofanya wapuuzi wengi, but no!!! Alisikitika!! Compare comments za Lissu na Mbowe kuhusiana na kifo cha Mkuu wa kaya CHADEMA hawatapata kiongozi kama huyu. Ni ukweli usiopingika Mbowe amekifanya chama kikubalike nchini!!!