Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chonde, anayelizimishwa anaishiaga katikatiTutamlazimisha aendelee atake asiitake!
Nami nakuunga mkono. Angali vijana wote aliowaamini na kuwakuja, akina Katambai wapo zao CCMIla huyu Mwamba akiachia vijana hiki chama kinaweza kufa mda si wake. Wengi ni wachumia tumbo.
Siasa za Mbowe si za kawaida.
Hivi unazani awamu ya 5 asingepiga marufuku ya mikutano umaarufu ungepungua? Jiulize kwanini aliogopa Chadema akaamua kutumia dola kuishughulikia na ameondoka amekiacha chama kipo, sasa kama hufahamu kwasasa Wananchi wengi hadi vijijini wanawasikiliza sana wanasiasa wa upinzani hususani Chadema.Chadema ilipata ummarufu kwa sababu ya mapingufu ya serikali ya awamu ya 4 ikiwa na ufisadi kila kona dr .slaa wakapata hoja si kweli mbowe alikijenga Kama inavyosema ila yeye alikitumia kukikopesha kwa riba na kukidai kwa mgongo wa nyuma
Wanachama ndio wanaamua sio yeyeMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023
Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Hujui usemalo hakuna mafanikio bila mikakakti. Mbowe Ni mwana mikakati/strategist mzuri sanaaChadema ilipata ummarufu kwa sababu ya mapingufu ya serikali ya awamu ya 4 ikiwa na ufisadi kila kona dr .slaa wakapata hoja si kweli mbowe alikijenga Kama inavyosema ila yeye alikitumia kukikopesha kwa riba na kukidai kwa mgongo wa nyuma
Hujui usemalo hakuna mafanikio bila mikakakti. Mbowe Ni mwana mikakati/strategist mzuri sanaaChadema ilipata ummarufu kwa sababu ya mapingufu ya serikali ya awamu ya 4 ikiwa na ufisadi kila kona dr .slaa wakapata hoja si kweli mbowe alikijenga Kama inavyosema ila yeye alikitumia kukikopesha kwa riba na kukidai kwa mgongo wa nyuma
wajinga ndiyo waliwao mnakuwa na chama kikubwa mnashindwa kuchukua dola kwaajili ya mboweKaa hapo, hivyo vyama vingine ambavyo havikuongozwa na Mbowe vina hali gani kwa sasa? Mbowe ndiye kamanda wa ukweli,wewe ni kuruta tu.
Hujitambui.Kaa hapo, hivyo vyama vingine ambavyo havikuongozwa na Mbowe vina hali gani kwa sasa? Mbowe ndiye kamanda wa ukweli,wewe ni kuruta tu.
Pandikizi la wapi tena?Mnadhani atawekwa pandkizi lakuyumbishwa yumbishwa inatoka dhahabu itaingia platinum chama imara na chama makini
Mkuu usipoteze mda , huyu ya ccm chama chake yamemshinda ,ya chadema atayaweza wapi?Kaa hapo, hivyo vyama vingine ambavyo havikuongozwa na Mbowe vina hali gani kwa sasa? Mbowe ndiye kamanda wa ukweli,wewe ni kuruta tu.
Kaa hapo, hivyo vyama vingine ambavyo havikuongozwa na Mbowe vina hali gani kwa sasa? Mbowe ndiye kamanda wa ukweli,wewe ni kuruta tu.
Kamanda tumia akili, mtu kusema kweli ndio amekuwa mtu wa Ccm?Mkuu usipoteze mda , huyu ya ccm chama chake yamemshinda ,ya chadema atayaweza wapi?
Mbowe yupo na ataendelea kuwepo mpaka wapasuke bongo zao Kama sio kujinyonga
Sema tutajaribu kupenyeza mamluki kama kawa,kama ilivyokuwa pale BuguruniKwa miaka ishirini na kitu hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kugeuza chama chetu kama mali yake binafsi...