Mkuu binafsi sijawai kua ndani ya box ,nafanya kile nakiamini, na KWA mapenzi yangu mwenyewe,binafsi hata mh Mbowe hatufamiani, ila ni mwanachama baada ya miaka kibao kaa bila Chama na sikuwai kua na chama kabla , so niliamua jiunga na Chadema 2020 kabla ya uchaguzi TOKA moyoni kwanza wakati sijapata KADI ya uhanachama,
Sababu kuu niliona jinsi Chadema Wanavyo nyanyaswa ,kuteswa , kufungwa , swali langu ilikua why watu wachadema wanakubali mateso yote wakati wengi wao Wana maisha , na wanaweza ishi maisha watakayo, ? Na kabla nilitaka jiunga na chama ambacho bado kichanga ,roho yangu ilikua KWA CHAUMA maana nilizipitia katiba mbali mbali za vyama tofauti vichanga ila niliona CHAUMA naweza jiunga nacho kabla ya shinikizo la roho kutuliza moyo wangu CHADEMA,
So yapo mengi moyoni mwangu, na wenda ni mchanga Sana katika ichi chama, but Nina commitment ya ajabu Sana na chama hichi sio kwamba natafuta sifa ndani ya chama , na je sifa naitafutaje wakati hakuna mwanachama yeyote niliwahi au mshirikisha ID yangu hapa jf, kwamba twafamiana ,
But from my heart I love CHADEMA, yapo mengi nitayafanya KWA chama ichi binafsi Mungu nisaidie