Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

Swala ni mtu wa kuaminika kumkabidhi kiti kama bado hajapatikana basi Mbowe aendelee kama yupo anayetosha basi wanachama wamuone na waridhike naye nje ya mipaka ya mashaka.
Mbowe amekuwa kiongozi bora sana wa upinzani hapa Tanzania.
Watu wapo sana, na kama hawapo ni kosa la Mbowe na cdm kwa ujumla kutokuwa na succesion plan ya uongozi. Ila hizo lugha za kwamba hawezi kupatikana kiongozi kama huyo, ni lugha za kutojiongeza na kukabidhi akili kwa mtu mmoja.
 
UENYEKITI WA CHADEMA, HAPO WAMKABIZI MTU MWENYE MSIMAMO MKALI ASIYE YUMBISHWA NA AMBAYE YUKO TAYARI KUFA KWAAJILI YA UPINZANI, ASIYEHONGEKA KWA MADARAKA; NAYE NI TUNDU ANTHIPAS LISU,

WAKIKABIDHI UENYEKITI WA CHADEMA KWA HAWA VIJANA WA SASA WENYE TAMAA ZA KUHONGWA MADARAKA NA FEDHA WAJUE CHADEMA IMEKUFA.
 
Watu wapo sana, na kama hawapo ni kosa la Mbowe na cdm kwa ujumla kutokuwa na succesion plan ya uongozi. Ila hizo lugha za kwamba hawezi kupatikana kiongozi kama huyo, ni lugha za kutojiongeza na kukabidhi akili kwa mtu mmoja.
Tunaweza kuorodhesha majina hapa kwa maslahi mapana ya CHADEMA.

Ukimuondoa Freema Mbowe namuona Tundu Lissu kwa sasaa...

Siasa zetu wakati bado mifumo ikiwa dhaifu inahitaji watu very strong kimsimamo.
 
Bora kabisa ili hicho chama kishikwe na wasukuma sasa.

Wachaga wamekidumaza hicho chama.
Bado kumbukumbu yetu ya lile bwana la kisukuma lilivyokuwa katili ipo fresh kamwe hatufanyi makosa tena kuwapa watu wa kule.
 
Kwa sheria zinazoendesha siasa ya Tanzania Mbowe alipambana sana kwa namna alvyoijenga Chadema hadi vijijini kwakweli Heko kwake Mwenyekiti naamini watatafuta kijana ambaye anamisimamo kama Kaliba ya Heche, Sugu angefaa ila basi shule inamtupa siasa ya sasa inafaa vijana ambao wameenda shule na waaminifu
Chadema ilipata ummarufu kwa sababu ya mapingufu ya serikali ya awamu ya 4 ikiwa na ufisadi kila kona dr .slaa wakapata hoja si kweli mbowe alikijenga Kama inavyosema ila yeye alikitumia kukikopesha kwa riba na kukidai kwa mgongo wa nyuma
 
Back
Top Bottom