Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

Hiyo sasa ni mada mpya yenye facts tofauti, tunachotaka FAM ajiuzulu, huwezi kuongoza miaka 20 peke yako. Nchi hii ina watu zaidi ya Milion 60, ina maana wanachama wote wa CHADEMA ni vilaza?
Ndo jibu Hilo Tena jibu sahihi Chadema wote ni vilaza mwenye akili ni Mbowe tu ndo maana anawaswaga kondoo for 20 yrs 😂😂😂
Kapatikana mwingine mwenye Akili anaitwa mhaini.
Ili uwe mwanachadema mzuri ni kukubali kuongozwa na Mbowe milele
 
Anazungumza na chakademus

Taifa halina muda
 
Na taifa tena!!! Mambo moto sana
 
Pekee ambacho ataongea chenye maana ni kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha Mwenyekiti wa Chadema, basi.
 
Anaenda kuanguka,atapata kura 350 ,the rest ni za Lissu
 
Mzee Mbowe ,chonde chonde usiendelee kutia aibu eti ulimfadhilu Lissu tiketi ya ndege(too low🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️)
 
Hana jipya, aachie chama kijiendeshe kitaasisi na kirudishe imani kwa watz wanaopenda mabadiliko.
 
Mkuu Molemo umepotea sana tukutane.... 21 na jambo moja tu KULINDA TAASISI
Mnufaika wa pesa za ruzuku na zile za Abdul hana jipya.
Ameibuka baada ya kuona bwana wake mbowe anakataliwa na kila mpenda mabadiliko. Sasa anajiuliza atakula wapi bwana wake akiondolewa? Maana akiondolewa na yeye ataondolewa hapo ofsini na walizoea kula pesa za ruzuku na kusababisha zisifike majimboni na mawilayani.
Majimboni hali ni mbaya sana pesa zote wanazigawana makao makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…