Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

Museveni anakuja kutangaza rasmi kuwa amekula kichwa cha mbangaizaji.
 
Mzee Mbowe ,chonde chonde usiendelee kutia aibu eti ulimfadhilu Lissu tiketi ya ndege(too low🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️)
Mmachame amekuwa mchambaji kama mwanamke wa kizaramo.
 
Akatangaze kujitoa kugombea uenyekiti na kumuunga mkono Mh. Lissu ili kukinusuru chama. Chama kimegawanyika vibaya mno
Alivyo na uchu wa madaraka kamwe hawezi kufanya hivyo na tena anajua fika wanachadema wengi kwenye ground tumemchoka!
 
21....
 
Aisee wewe Molemo mbona umeleta andiko la uongo na sifa za kijinga kwa FAM?

Jitahidi kuwa mkweli kuliko mnafiki na muongo kisa kumpendeza FAM. Na ingependeza hisa sifa za uongo mnazompa FAM mngekuwa majibu hoja za TAL ningewaona mna akili
 
Swali la Msingi ambalo Kikeke hakumuuliza Mbowe na ambalo lazima aulizwe ni , " Miaka ishirini ya uenyekiti wa Chama. Amefanya mambo mengi sana. Jambo gani ambalo anadhani hajaweza kulifanya na anawaaminishaje wanachadema kwa hilo?

Moja ya sifa ya kiongozi, ni kuandaa viongozi wa baadae. Na unapoandaa viongozi furaha yako inatakiwa iwe kuona nao wanafika level zako. Kwa nini kila ukikaribia uchaguzi mkuu wa Chadema, lazima wanachama wanaoonekana kutaka kuchallenge nafasi ya mwenyekiti, huwa wanakuwa labled wana mapinduzi?

Mwisho, Mwandishi asisahau kumuuliza, kwa nini wanachadema wamchague yeye na sio TAL?
 
Mbowe hana ushawishi tena alikua anawaambia Watanzania waandamane anajikuta yupo na mwanae wa kike wengine waliomaliza shule wanakataa amri ya mzee.
 
Aisee wewe Molemo mbona umeleta andiko la uongo na sifa za kijinga kwa FAM?

Jitahidi kuwa mkweli kuliko mnafiki na muongo kisa kumpendeza FAM. Na ingependeza hisa sifa za uongo mnazompa FAM mngekuwa majibu hoja za TAL ningewaona mna akili
Mods nao wawe wanazifuta nyuzi za uongo.
 
Kama ni mwendelezo wa masimango na story zake za kila siku bora umkataze maana hana huo mvuto unaompakazia zaidi ya kila mmoja Mbowe sasa hana sera kabakia kulalama tu
 
Lissu ana tabia ya kutokumaliza miradi.
TLS aliishia njiani
Ubunge aliishia njiani
 
Wajumbe wengi wanakula pesa za mbowe lakini moyoni wapo kwa lisu kwani lisu anaenda kuandaa mfumo mzuri wa uongozi tofauti na mbowe ambaye anaongoza chama kidikteta kahodhi pesa zote za chama kwa njia haramu za kujimilikisha kienyeji
 
Lissu ana tabia ya kutokumaliza miradi.
TLS aliishia njiani
Ubunge aliishia njiani
Mbowe kamaliza miradi gani zaidi ya kuiba pesa zote za chadema kwa kuzitakatisha kujilipa madeni hewa akisingizia alikopesha chama
 
Kambi ya chechemela haitalala, waganga watapigiwa simu wakatege madawa kwenye mageti ya Clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…