Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

Sasa zimefika 60 wakati mlisema Lisu akifikisha kura 20 ni mwanaume, Niwaambie tu ukweli Lisu mpaka tatehe 21 matokeo yatakuwa Lisu 80% Mbowe 15% na 5% ya wajumbe wataharibu kura
 
Sasa zimefika 60 wakati mlisema Lisu akifikisha kura 20 ni mwanaume, Niwaambie tu ukweli Lisu mpaka tatehe 21 matokeo yatakuwa Lisu 80% Mbowe 15% na 5% ya wajumbe wataharibu kura
 
Akatangaze kujitoa kugombea uenyekiti na kumuunga mkono Mh. Lissu ili kukinusuru chama. Chama kimegawanyika vibaya mno
Akifanya hivyo atakuwa kafanya jambo la maana sana. Ataonyesha political maturity.
 
POWER BREAKFAST: Mbowe anasema chadema ilianzishwa na wafanyabiashara akiwemo yeye.
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe sasa anaongea na Taifa.Tumsikilize
 
Kama anasema chadema ilianzishwa na wafanyabiasha waliotaka mageuzi ya siasa za mrengo wa kulia na yeye akiwa ni mmojawapo wa waanzilishi wa chama hicho, how come kwa wanachama wakuja kama kina lissu kumbandua kitini ikiwa hataki kuachia ngazi?
 
Mramba asali ya mama analipi tena la kutuambia?
 
Haya magumu ya kisiasa waliyopitia tangu zuio la shughuli za vyama vya siasa ikiwemo wengine kukamatwa na kufungwa, wakingine kushambuliwa kwa anavyoeleza ni kama anatia huruma, huruma aendelee kuongoza chama
 
Anasema chadema ni taasisi, inaweza kupata kiongozi mwingine na mambo yakaendelea
 
kama hazingumzii kuachia ngazi asisikilizwe!

habari za ki-saccos hazituhusu

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Apumzike tuu fundi Saa!Kufanya mwema mengi sana,ila kwa Sasa apumzike hata Nelson Mandela alifungwa miaka ishirini na Saba (27)jela,akatoka na kuwa Raisi,aliamua kupumzika japokuwa alikuwa anakubalika Bado .Mbowe pumzika.
 
Anasema wengi wanamtaka aendelee kuwa mwenyekiti, maono hayajatimia
 
Mbowe kiukweli namkubali,ila kwa hili anachemka!Kaulizwa Swali kwamba wakati wa kujadili vyama vingi,ilionekana kwamba wengi wakisema wanataka chama Kimoja,wachache wakisema wanataka vyama vingi.Kama ni hivyo na Wewe Mbowe usitumie mfumo huo wa wengi wanakutaka, wachache hawakutaki.Jibu la Mbowe ooh wengine wanakimbia nchi.Tundu Lissu huko ubelgiji si alienda kwa akili ya matibabu.Hoja dhaifu ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…