minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mbowe sasa ni mwimba Taarabu mipasho na masimango hana jipyaAtazungumza na chadema wenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe sasa ni mwimba Taarabu mipasho na masimango hana jipyaAtazungumza na chadema wenzake.
Uje kwenye zoezi la kupiga kuraMbowe sasa ni mwimba Taarabu mipasho na masimango hana jipya
Mbowe bila Timu lisu lazima chadema itakuwa kama NCCR TLP na CUF ya LipumbaTAL hawezi kusimamia chama kwa miaka mitano,.
Chadema itakuwa yatima soon
sawa atuachie nasaha zake za mwisho mwisho kama kumbukumbu kwa mwenyekiti mpya LisuFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Mbowe sasa ni mzee wa masimango hata kama alikununulia kiberiti mwaka 1979 akiwa mdogo lazima asimange kwa sasa tutamwita jina jipya Mbowe masimangoNani wa kumsikiliza yule mwehu alivyo zero brain ataanza kuongelea ya Magufuli tena
Mbowe alikuwa Dikteta ukithubutu kuwania uenyekiti anakumaliza kama alivyowafanyia wangwe na zito ingawa Lisu kamtaimu akatangaza kuwania uenyekiti ghafra kwa kumshitukiza, lakini bado mbowe kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, sigu na Wilium mungai kwa ajili ya kumdhoofisha na kumhujumu Lisu, kawalipa pesa nyingi kwa kazi hiyo, pesa zote alizoiba chadema sasa zinatafunwa na chawa kwa kwenda mbeleNdo jibu Hilo Tena jibu sahihi Chadema wote ni vilaza mwenye akili ni Mbowe tu ndo maana anawaswaga kondoo for 20 yrs 😂😂😂
Kapatikana mwingine mwenye Akili anaitwa mhaini.
Ili uwe mwanachadema mzuri ni kukubali kuongozwa na Mbowe milele
Democracy ni neno simple rahisi na linavutia sana kulitaja machoni pa watu.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Tundu anabebwa na sifa ya kutokuwa na kashifa hata ya kuzingiziwa kama viongozi wengine.Kule kunakoitwa kuropoka ni majibu sahihi ya maswali yanayolenga kumchafua dhidi ya wapinzani wake na njia pekee anaposhambuliwa anajibu ukweli ambao nyinyi mnasema ni siri.Wapo nyoka ambao ni wanyenyekevu lakini jaribu kumkanyaga uoneFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Mbowe ni mwimba Taarabu mipasho ni mzee wa masimango kawa muongeaji wa hovyo haijapata kutokea mpaka baadhi ya chawa wake wanaona Aibu ile division zero ya mbowe sasa imejidhihirisha waziMmachame amekuwa mchambaji kama mwanamke wa kizaramo.
Yote sawa. Vizuri mkimshauri ajiuzulu/ajitoe kulinda hayo mazuri aliyo nayo. Zama zimebadilika. Wananchi wanataka amsha amsha badala ya matamko yenye busara!Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Asante kwa taarifaFreeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Lisu kaongea ukweli mtupu na kwa kuwa mbowe hakuwa kazoea haya kapandwa na pressure kubwa kawa mwimba Taarabu mipasho na masimangoTundu anabebwa na sifa ya kutokuwa na kashifa hata ya kuzingiziwa kama viongozi wengine.Kule kunakoitwa kuropoka ni majibu sahihi ya maswali yanayolenga kumchafua dhidi ya wapinzani wake na njia pekee anaposhambuliwa anajibu ukweli ambao nyinyi mnasema ni siri.Wapo nyoka ambao ni wanyenyekevu lakini jaribu kumkanyaga uone
Freeman is Mugabe of our era. Amejidharirisha sana.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika kipindi kingine cha miaka mitano.
Freeman Mbowe amejitofautisha na wapinzani wake kisiasa kwa jinsi alivyo mnyenyekevu, anayechagua maneno ya kuzungumza, anayeheshimu viongozi wenzake, asiyetoa shutuma bila mpangilio, anayetambua mchango wa wenzake, asiyetoa siri za chama na asiyeropoka hovyo.
Kwa mujibu wa tafiti kupitia wajumbe kadhaa wa Mkutano mkuu kote nchini Freeman Mbowe anatarajiwa kuchaguliwa tena kwa ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura zote za wajumbe.
Molemo Media Itakuwa live kuwaletea mazungumzo ya Freeman Mbowe na Taifa.
Mbowe anaogopa kuachia uenyekiti kwa hofu kuwa yale maovu, madudu, wizi wake utabainika vizuri mbowe ametenda mengi ya hovyo ndani ya miaka 20 chadema hataki yawekwe wazi, ndiyo maana anaununua uenyekiti kwa gharama yeyoteYote sawa. Vizuri mkimshauri ajiuzulu/ajitoe kulinda hayo mazuri aliyo nayo.
Sasa tunamwita Mbowe masimangoFreeman is Mugabe of our era. Amejidharirisha sana.
Hoja hii hapa sikia ingawa ukiwa umekula pesa za mbowe ambazo kaiba chadema akaja kugawana na wewe lazima utakataa kila kitu kwa kisingizio kuwa siyo hoja , chawa kuleni pesa za mbowe lakini kura mpeni LisuJikite kwenye hoja.
Mbowe kaiba pesa zote za chadema kwa kutengeneza madeni hewa kisha kujilipa akiwa na lengo la kuzitakatisha pesa alizokwapua chadema, Mbowe ni mwizi kama wezi wengineUpepo umekataa kabisa halafu ni ile lafudhi yake ya Kichaga anavyoongea sasa hivi typically anaonekana ni tapeli pro.
Akiikosa hii nafasi mahakamani ataenda aisee na jela kabisaMbowe kaiba pesa zote za chadema kwa kutengeneza madeni hewa kisha kujilipa akiwa na lengo la kuzitakatisha pesa alizokwapua chadema, Mbowe ni mwizi kama wezi wengine
Kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, wenje, Boniface na wenzao tayari wamesuka mipango yote ya kumhujumu Lisu kumwubia kura kupora ushindi na mambo mengineyo ya hovyoUje kwenye zoezi la kupiga kura