Pre GE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Limakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.
Sasa wewe unaumia nini na siyo chama chako. Mambo yao waachie wao au na wewe chukua cadi ili uumie kwa haki, siyo kuumia wakati hayakuhusu. Kwa akili hizi hata Lucas Mwashambwa ana nafuu
 
Hizi Shenanigans zingefanyika behind closed doors au kujibishana by sms..., wafanye hima warudi kwenye issues za mlipa kodi (AKA MLIPA RUZUKU) sababu ni mengi yanayomuathiri huyu mdau (things are getting worse by the day na takuwa sisemi uongo nikisema mpaka dakika hii hapati his/her value for money)
 
Swela la mttu kugombea siyo la chama ni maamuzi yake binafsi hasa kwa mtu kama yeye ambaye amekaa madarakani kwa mda mrefu anapaswa tu kujitafakari, inawezekana akazani ni chama kumbe ni chawa
Mambo ya Chadema waachieni chadema. Ikikuuma sana chukua kadi yao nenda kagombee, na a kama ni mwanachama hama anzisha chama chako au hamia chama chochote unachokipenda. Acha kuwa na akili kama za johnthebaptist
 
Wakuu,

Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.

Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao watasubiri sana.

View attachment 3173677
Safi!
 
1. Haondoki mtu hapa,
2. hatuna fomu moja ua uenyekiti kama CCM
3. Trump ana miaka mingapi?
4. Nyerere alingatuka, yeye alikuwa mtumishi wa UMMA analipwa kwa kila alipendalo. Sisis tunajitolea

BOTTOMLINE HAONDOKI MTU
Haswa!
 
Madhara ya Nepotism yameonekana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania 2024 Jamaa kafanya kila awezalo kumfurahisha Mama Mkwe na kuwanyima haki Watanzania ya kuwachagua Viongozi wawatakao.
 
Wakuu,

Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.

Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao watasubiri sana.

View attachment 3173677
Kwa hiyo anamchamba nani? Ameanza kuzeeka vibaya
 
Mwl Nyerere alikuwa Kiongozi wa TANU na CCM kwa miaka mingapi ??? Tuache unafiki !
 
Back
Top Bottom