Sasa wewe unaumia nini na siyo chama chako. Mambo yao waachie wao au na wewe chukua cadi ili uumie kwa haki, siyo kuumia wakati hayakuhusu. Kwa akili hizi hata Lucas Mwashambwa ana nafuuLimakengeza n lilafi halina usafi wowote.
Namchukia sana mtu mbinafsi anayejiona ana akili kuliko wenzie na bila yeye mambo hayawezi kwenda.