barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Bilicanas inamuhusu toka kitambo, ndo maana NHC wanataka share yao.Wakati huo mtukufu yupo chato anavua samaki.
Mbowe mtoto wa mjini toka kitambo.
Bilicanas inamuhusu toka kitambo, ndo maana NHC wanataka share yao.
Bavaria leo unanifurahisha kweli..Ina maana nilikuwa sijui historia ya JP?
Acha kuchukulia kila kitu personal ndugu.
Utakufa kwa presha kwa vitu vidogo sana.
Bavaria leo unanifurahisha kweli..
Sijui ni nani kati yetu hapa anayepata presha na kuchukulia vitu personal ha ha ha..
Hebu fikira tena ni mimi au hao wanaosema 1999 JPM alikuwa anambwelambwela kwenye madimbwi ya chato wakati Mbowe yuko town kitambo?
Walikurupuka kumbeza JPM (au kumtania) wakasahau kahistoria kanawabeza wao...
ha ha ha..
Sawa boss.Ukisoma comment yangu hakuna sehemu nilisema neno JPM.
Kwahiyo anaweza akawa sie.
Sawa boss.
Ulikuwa unamaanisha nani mkuu?
wakuu ni wengi hata MAKONDA ni mkuu....Sawa boss.
Ulikuwa unamaanisha nani mkuu?
Sigara hio kakaMiss Aspen, " hii Aspen ilikuwa bia sijui lol kitambo sana
Huyo ni Afisa habar wa Umoja wa Mataifa sasa na mtangazaji wa kipindi cha Mimi na Tanzania kinachorushwa na Channel Tenhuyo miss yu wapi siku hizi
Mkuu Jozi 1 mimi ndio mmeleta mada,sina Uchadema wala Uccm...mi husimama pale napoona ni sahihi.Huu ushabiki unawatia watu upofu mbaya unaokupoteza na kukuwekea ukungu wa ubongo na kupotosha kwa makusudi.
Hii yote kwa sababu ya ulimbukeni wa ushabiki wa kisiasa wa kuangalia kila kitu kwa ushabiki na jicho la kengeza.
Unamshabikia Mbowe na Chama chake na unamdis Magufuli na chama chake hadi unajiaibisha.
Kwa taarifa yako na huyo mnayemuita mtoto wa mjini.
Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati huo na Mwaka 2000 akawa Waziri kamili.
Acheni kufuata mkumbo na ushabiki maandazi....kisa tu ccm na chadema...
Jambo hili limeiharibu sana JF na thamani yake.
Nimeralax boss.Mkuu Jozi 1 mimi ndio mmeleta mada,sina Uchadema wala Uccm...mi husimama pale napoona ni sahihi.
Majukwaa mengine ninya utani utani tu!!Huku ni kwa "Celebrities" na vituko vyao!!Seriousness is not order of the forum!!Utani utani tuuuuuu!!!
Hujaniona kule Jukwaa la Siasa navyokashifiwa na kina Nzi TUTUO Frank Wanjiru Clueless14 kwa kuitetea ndege ya ATCL?
Kuna majukwaa ya ku-relax kwa utani na vijembe!!Just relax!!
Just relax mkuu Bavaria wakati mwingine si kila mtu wa kumjibu!!Mtu akichukulia kila kitu serious humu ataumia bureuAcha upuuzi wewe.
Hakuna sehemu aliyotajwa Magufuli. Na hakuna sehemu yenye ukweli wowote kuhusu kilichoandikwa.
Sio kila kitu uchukulie personal hata palipowekwa utani.
kumbe mtukufu unamjua na wewe,kipndi hicho mtukufu alikuwa anaenda manzese kupiga picha anatuma chato zinafika baada ya mwezi,kuwaonyesha yuko mjini anavuka libarabara la magari mengiAlikuwa tayari ameshamaliza chuo kikuu na pia naibu waziri. Kalagabaho na Mbowe wako.
Ulikua unaitwa simply the bestYeah kitambo,naukumbuka ule wimbo uliokuwa tangazo wa hiyo sigara Aspen,wa Diana Ross nadhani..
Ehee kichofuata au ulitolewa kwenye makundiUnaweza ukahisi utani ila hii kitu nishafanya sana. Nikatega alarm kama dakika tano mbele nilijua ndani ya muda huo lazima nitakuwa nimefika usawa wa yule binti, naam nilipofika tu hata sekunde thelathin hazikupita kudadeki kitu griiiiii.... griiiii... hapo kilikuwa kinaning'inia shingoni, nikakivua nikakata alarm halafu nikapeleka sikioni...
"Hallow... eeh nimetoka kidogo... narudi sasa hivi... haya nakuja" halafu nikafanya kama nakata kisha nikairudisha Simens mayai shingoni. Nikamcheki binti nikiwa serious sana..
"Mambo..."
"Poaaaa" huku anatabasamu... hahahaha alikuwa anaitwa Prisca Mbilinyi