Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Freeman Mbowe na Hoyce Temu

Ina maana nilikuwa sijui historia ya JP?

Acha kuchukulia kila kitu personal ndugu.

Utakufa kwa presha kwa vitu vidogo sana.
Bavaria leo unanifurahisha kweli..
Sijui ni nani kati yetu hapa anayepata presha na kuchukulia vitu personal ha ha ha..

Hebu fikira tena ni mimi au hao wanaosema 1999 JPM alikuwa anambwelambwela kwenye madimbwi ya chato wakati Mbowe yuko town kitambo?

Walikurupuka kumbeza JPM (au kumtania) wakasahau kahistoria kanawabeza wao...

ha ha ha..
 
Ukisoma comment yangu hakuna sehemu nilisema neno JPM.

Kwahiyo anaweza akawa sie.
 
Huu ushabiki unawatia watu upofu mbaya unaokupoteza na kukuwekea ukungu wa ubongo na kupotosha kwa makusudi.
Hii yote kwa sababu ya ulimbukeni wa ushabiki wa kisiasa wa kuangalia kila kitu kwa ushabiki na jicho la kengeza.
Unamshabikia Mbowe na Chama chake na unamdis Magufuli na chama chake hadi unajiaibisha.
Kwa taarifa yako na huyo mnayemuita mtoto wa mjini.
Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati huo na Mwaka 2000 akawa Waziri kamili.
Acheni kufuata mkumbo na ushabiki maandazi....kisa tu ccm na chadema...
Jambo hili limeiharibu sana JF na thamani yake.
Mkuu Jozi 1 mimi ndio mmeleta mada,sina Uchadema wala Uccm...mi husimama pale napoona ni sahihi.
Majukwaa mengine ninya utani utani tu!!Huku ni kwa "Celebrities" na vituko vyao!!Seriousness is not order of the forum!!Utani utani tuuuuuu!!!

Hujaniona kule Jukwaa la Siasa navyokashifiwa na kina Nzi TUTUO Frank Wanjiru Clueless14 kwa kuitetea ndege ya ATCL?

Kuna majukwaa ya ku-relax kwa utani na vijembe!!Just relax!!
 
Nimeralax boss.
Cheers
 
Acha upuuzi wewe.

Hakuna sehemu aliyotajwa Magufuli. Na hakuna sehemu yenye ukweli wowote kuhusu kilichoandikwa.

Sio kila kitu uchukulie personal hata palipowekwa utani.
Just relax mkuu Bavaria wakati mwingine si kila mtu wa kumjibu!!Mtu akichukulia kila kitu serious humu ataumia bureu
 
Unaweza ukahisi utani ila hii kitu nishafanya sana. Nikatega alarm kama dakika tano mbele nilijua ndani ya muda huo lazima nitakuwa nimefika usawa wa yule binti, naam nilipofika tu hata sekunde thelathin hazikupita kudadeki kitu griiiiii.... griiiii... hapo kilikuwa kinaning'inia shingoni, nikakivua nikakata alarm halafu nikapeleka sikioni...
"Hallow... eeh nimetoka kidogo... narudi sasa hivi... haya nakuja" halafu nikafanya kama nakata kisha nikairudisha Simens mayai shingoni. Nikamcheki binti nikiwa serious sana..
"Mambo..."
"Poaaaa" huku anatabasamu... hahahaha alikuwa anaitwa Prisca Mbilinyi
Ehee kichofuata au ulitolewa kwenye makundi
 
Back
Top Bottom