Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Tukubali tusikubali, hizi issue za upigaji ni mbaya... zinaharibu sana integrity ya mtu

TUnaturn blind eye, but deep down si kitu kizuri, halafu huyo dada hana mvuto kabisa sijui jamaa alitumia jicho gani kuangalia

Anyway, ngoja tuyaache yapite
 
Huu ni unyanyasaji wa mtoto! Usiwe unamfikiria tu mbowe bali imagine kwa huyu mtoto, kiumbe kisicho na doa! Ningekufahamu ningekuchapa kofi na kichwa!
 
Kwahiyo unakubaliana na mbowe alivyomsaliti mama yako na kwenda kwa joice mukya?

Jibu swali langu kwanza acha kurukaruka kama umekalia kitu chenye ncha kali, una uhakika kuwa baba yako kazaa na mama yako?
 
Wazinzi kwa kuteteana hamjambo mnajuana tu.

Lugha ya matusi hiii unaitumia dhidi yangu,bila kosa lolote nililokufanyia,

REACTION YANGU HUTAIWEZA KWELI TENA NAKUAPIA,UGOMVI WANGU NI WA MAYAI VIZA,NIKIBADILISHA HATA MASALO,SOMETIMES NAHAMISHIA HATA NJE YA JF IKIBIDI,USIJIDANGANYE NA HII FAKE ID YAKO,WAULIZE WENZAKO,

I AM WARNING YOU.
 
Mbowe jiuzulu, hatuwezi.kuwa na kiongozi aliekosa maadili
 
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.

mjepo;
Tunasema kuwa hayatuhusu kwa sababu hata huyo Joyce hatumjui, mtoto hatumjui wala hatuna haja kumjua kwani ni mtoto ka wengine. Hayo ni mambo ya wawili hao na familia zao. Michepuko haituhusu. Miye si mume wa Joyce wala simtamani ila nyiye wenye tamaa na hayo majitu ndo mnalia kilio cha mbwa kidomo juuu
 
Hii nayo ni habari ya kisiasa? Alafu hii itaongeza kura zenu mwakan? Au ndo yale yale ya serikali za mitaa?
 
Ndiyo MaCCM yaliadhibiwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Wakati wananchi wanataka kujua mustakabali wa nchi yao dhidi ya ufisadi na utawala mbovu wa serikali iliyopo madarakani wajingawajinga wa CCM wanakuja na trivial issues kama hizi!
 
Tukubali tusikubali, hizi issue za upigaji ni mbaya... zinaharibu sana integrity ya mtu

TUnaturn blind eye, but deep down si kitu kizuri, halafu huyo dada hana mvuto kabisa sijui jamaa alitumia jicho gani kuangalia

Anyway, ngoja tuyaache yapite

Mkuu weka picha yake!
 
Mwenyekiti wa chama kuzaa na mbunge wa viti maalumu tena illegal ni kukosa maarifa na maadili ya uongozi, kitaswira inatoa picha mbaya kwa umma hasa ukizingatia kiongozi ni mfano wa kuigwa na hatimaye kuweza kuifisha ile dhana potofu ya "Fateni maneno yangu ila msifate matendo yangu".

Accordingly to Che Guevera aliwahi kusema kwamba "Mkombozi/ Mpiganaji wa kweli hawezi kuwa mzinzi au mlevi" na hii ni kwa sababu upiganaji ni sacred movement hivyo kwa mpiganaji na mtetezi wa haki za wanyonge kujihusisha na uchafu huo ni kuzinajisi harakati.
Katika biblia hebu mtazame Samsoni, kosa kubwa alilolifanya ni kuhusisha uzinzi na harakati baada ya kurubuniwa na Delila na kilichofuatwa ni Mungu kumuacha na hatimaye kuondoa maana nzima ya harakati zake.Ipo mifano mingi tu mingine haiwezi kutosha mpaka kuimaliza.

Lastly: Ni vyema tujipime mara mbili na tuelewa kwamba Harakati ni sacred(Tukufu/Takatifu na ni makosa kabisa kuhusisha na uchafu, ili tutakaposimama na kusema TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU, ilete maana kamili kwa Mungu na umma.
 
Aliyegegedwa hakutoa chozi, wewe unatoa machozi?
Sijawahi kuona mwanamume mmbeya kama wewe tena mhaya?

Mkuu kusikitika kuwa Mwenyekiti hakutumia kinga akiwa mchepukoni ni umbeya? ya kapuya na Komba mlishangilia ,Leo ya Mbowe mnalilia!
 
Sasa haya mambo ya nyumbani mnayaleta hapa sisi hapa jamani tunataka siasa tupu, hizi thread nyengine mod hakikisha haziingii humu kutupotezea mda, tunataka habari za kusisimua za nchi kisiasa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…