Mbowe ajiuzulu uenyekiti CHADEMA.
naona ni muda muafaka wa kumshinikiza Mbowe ajiuzulu kwa kukosa maadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ajiuzulu uenyekiti CHADEMA.
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
Kwahiyo unakubaliana na mbowe alivyomsaliti mama yako na kwenda kwa joice mukya?
ndiyo maana baada ya matokeo mbowe alikimbia pale Hai kumbe alikuwa na mchakato wa kwenda kutengeneza cheti bandia
Wazinzi kwa kuteteana hamjambo mnajuana tu.
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.
Tukubali tusikubali, hizi issue za upigaji ni mbaya... zinaharibu sana integrity ya mtu
TUnaturn blind eye, but deep down si kitu kizuri, halafu huyo dada hana mvuto kabisa sijui jamaa alitumia jicho gani kuangalia
Anyway, ngoja tuyaache yapite
Mkuu, nasikia pia Mbowe kazaa na Esther Matiko!
Aliyegegedwa hakutoa chozi, wewe unatoa machozi?
Sijawahi kuona mwanamume mmbeya kama wewe tena mhaya?