Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Nyie mlipewa na nani mamlaka ya kuingilia maisha ya Komba? kwa hiyo unasema tusiwashauri watu kutumia kinga?

Yes usiwashauri watumie sababu ww hawakushauri uwambie michepuko yako wavae wakati wanakulala ww, na pia hulipwi chochote kwa huo ushauri unaotoa. Mme wako ndo unaruhusiwa kumshauri km umeolewa dada.
 
mambo haya ndio yanayoiangusha ccm...tangu mzee ndovu ashike usukani
 
ni kweli, tuna double standards za ajabu...

To me, Mbowe amechemsha sana!!
 
wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.


tuko busy na majukumu,kwani kuna shida gani kumtumia kaka yangu? Ningekuwa nimetumia jina lake kuficha ukweli hapo mngehoji.
 
Sasa kuna kosa gani hapo Taratibu zimefuatwa ingekuwa ni kosa kwa mtu mwingine asiyekuwa mzazi kuomba cheti hapo sawa lakini kama ndugu anaweza kutumwa kufuatatilia au kuandikisha cheti hapo sioni kosa. Tukiwa pale UDSM wakati wa kuomba affidaviaty mtu alikuwa anamchukua yeyote yule kama rafiki ili kumthibitisha na hati zililikuwa zinatolewa bila tatizo na. Hoja mufilisi hii!
 
What is the big deal here?!
Matokeo ya serikali za mitaa yaliwakimbiza Jukwaani...njia walioona inafaa kurudi jamvini ni kujipaka 'uchafu wa mtu anaye'hara' ' Ili waonekane ni vichaa hivyo tuamini kuwa hawana uwezo wa kujadili hoja makini zinazohusu matokeo hayo pamoja na suala la mamlaka ya uteuzi kumsifia jamaa aliyeliingizia taifa hasara ya mabilioni .

Hakuna deal lingine tena kutoka kwa hawa jamaa.
 
hayo ni maisha binafsi jambo la msingi ni uadilifu ktk kusimamia rasili mali za nchi yetu hii dumazwa
 
Upo sawa ndugu ILA kwa upande wa pili hili jambo linaharibu sifa ya kiongozi. Kama ujuavyo sifa za kiongozi ni pamoja na uaminifu kwa familia yake,siyo mla rushwa,mchapa kazi nk. Kwa hili jambo ni doa kwa kamanda Mbowe,
 
Yanatuhusu sana, lazima tuwajue viongozi wetu walivyo wasaliti kuanzia kwenye familia hadi kwenye siasa
kama mkisema hivo kuna kazi, tuleteeni majina ya viongozi wote hapa ili watuchambue, maana kama jk uchafu wake wote unajulikana, yule mtoto wa nje kule sinza hivi anaitwa nani vile?
 
Watu kwa uzushi hamjambo,,, nyie hawa hawa mlimzushia mzee slaha eti ameza mtoto wa uzeeni baadae mkashindwa kuthibitisha ,, acheni kuwavunjia heshima waheshimia unajua kwa kiongozi hii ni mbaya sana
 
hayo mambo binafsi hayatuhusu tudeal na matatizo yanaface nchi hii dawa hakuna,barabara za shida sehemu nyingi zinafikika kwa tabu, maji ya shida,elimu iko chini sasa hayo mambo ya mbowe yatatatua hayo matatizo hayo ni mambo yake binafsi na familia yake
 
hayo ni maisha binafsi jambo la msingi ni uadilifu ktk kusimamia rasili mali za nchi yetu hii dumazwa

Kama umeshindwa kuwa muadilifu kwa familia yako how come uwe muadilifu kwa rasilimali a nchi? No wonder we a still poor
 
Kwa hiyo mambo hayo binafsi ya watu yananisaidia nini mimi niliyekosa huduma za afya na maji hapa Magu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…