Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Ni lini watu wamekula ubwabwa kusherehekea ndoa yao?

Nakumbuka kisa cha marehemu Dito(RIP); alituhumiwa kutembea na mke wa mtu waandishi(kama nyie) wakawa wanamfuatilia sana akawauliza "..mwenye mke katulia nyie kinachowahangaisha ni nini..?" sasa ni sawa na hili jambo, mke wa mh. Mbowe katulia nyie kinachowahangaisha ni nini kama sio kukosa la kufanya?
 

So what?, this is rubbish!
 
kwahiyo hapa wajomba mnapigania familia ya mbowe?.. hili jambo linagusaje maslahi ya taifa.. keep busy yourself on national interest issues not kushupalia personal matters
 
yani kweli watanzania ni sheeda yani mtu yuko busy na mambo ya familia za watu mnazileta public inatuhusu nini inatakiwa ukiweka tabia za mtu uweke na za kwako tuambatanishe alafu tujue wewe na mbowe ni yupi zaidi siyo tu kuleta za upande mmoja tumiakichwa kufikirikuliko kutumiasaburi
 

Mkuu huyu mleta thread anawivu sana, anatamani Mheshimiwa Mbowe amzalishe yeye, ndio maana ameleta uzi wa kipuuzi, yote ni ku washwa washwa anatafuta mwanaume kwa nguvu.
 
ndilo tatizo la watu waliopo ccm huwa hazimo zote full hewa ubongo hautendi kazi maana akili zote ni lazima uwakabidhi mafisadi ndiyo uwe mwana ccm
 
Mambo binafsi ya mtu hay.mbona kikwete amezaa nje ya ndoa husemi au ulikuwa unataka kuzaa na mbowe?
 
ukiona watu wana kudis ujue ndiyo wanakukubali anayebisha endeleeni ku mdis mheshimiwa mbowe au ninachokiona ni kuwa mleta post alimtaka mbowe ikawa tofauti na alivyotaka akaona akimbilie huku pole aise maana hata hii post ikichangiwa vipi mwisho wa siku kusanya faida ulizozipata utupe hapa ila kumbuka kila msema mwenzake naye husema kama siyo leo basi kesho pambana
 
Hayo ni maisha yake binafsi, hayo ya familia yake sisi haya tuhusu
 
watu ka wewe ndo tunawatafuta tuwarudishe darasani.
 
mbona hicho cheti hakipo ssa. kwani fomu mtu yoyoye siunaweza jaza?
 
Watanzania ndiyo maana hatupati maendeleo. Sasa angalia huyo amepoteza mda mwingi kufuatilia mambo ya watu sijui kwa manufaa ya nani. Utakuta hata milo mitatu ni shida. Ukizingatia tunachangamoto nyingi...lakini ya mwenzetu imekuwa hili...kazii kweli
 
Watanzania ndiyo maana hatupati maendeleo. Sasa angalia huyo amepoteza mda mwingi kufuatilia mambo ya watu sijui kwa manufaa ya nani. Utakuta hata milo mitatu ni shida. Ukizingatia tunachangamoto nyingi...lakini ya mwenzetu imekuwa hili...kazii kweli

Kipindi tulipo jadili kuhusu komba mbona hukusema haya?
 
watanzania wasikubali kudanganywa na watu kama hawa, hii ni aibu, chadema sijui watatuambia nini, ila naona mabavicha wanamsifu mwenyekiti hapa kwamba kidume...

Hao Bavicha walikuwa mstari wa mbele kumsema KOMBA! Leo kwa Mbowe wanaogopa hata kusisitiza matumizi ya Kinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…