Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Ni lini watu wamekula ubwabwa kusherehekea ndoa yao?
Nakumbuka kisa cha marehemu Dito(RIP); alituhumiwa kutembea na mke wa mtu waandishi(kama nyie) wakawa wanamfuatilia sana akawauliza "..mwenye mke katulia nyie kinachowahangaisha ni nini..?" sasa ni sawa na hili jambo, mke wa mh. Mbowe katulia nyie kinachowahangaisha ni nini kama sio kukosa la kufanya?