Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Mbowe ipo siku italetwa video yake akiwa na mkewe faragha. Usalama wa taifa unamfuatilia kwenye mambo ya kitoootoo.
 
Mbunge akajifungulie Mwananyamala hosp?hizo document ni fake wana jf!tunajua Mbowe ni mwiba mkali kwa ccm
 
Amina Chifupa,Rahma Al kharoos,Mtoto Wa ASAS iringa,Vicky Kamata bado kuna wale anaowapeleka serengeti ktk hotel yake miezi kama hii ya dec
 
Uzinzi ni kigezo kimojawapo cha kunyimwa uongozi!
teh teh, uongozi gani mkuu? Kama hicho kingekuwa kigezo jk asingekuwa pale magogoni, pia mwigulu asingekuwa naibu waziri wa fedha, na hata adamu malima asingeendelea kuwa naibu waziri wa fedha kamwe.
 
Inawezekana ikawa uongo au kweli lakini mambo ya familia yake yanatusaidia nini sisi wanachama wa cdm au ndo akili za lumumba?
 
haa haa kwa staili hii tezi dume ni lazima, duh jk kwa uzinzi hakunaga..
 
Mbowe ipo siku italetwa video yake akiwa na mkewe faragha. Usalama wa taifa unamfuatilia kwenye mambo ya kitoootoo.
mkuu huo ndo ukweli, badala ya kufuatilia issues zenye maslahi kwa taifa letu wao wanaangalia mambo binafsi ya mtu, shame on him!
 
Wewe mwehu, mbona msajili hajasaini hiyo fomu, mbona unatulutea udaku. Hata ikiwa ni kweli hayo si ndo matunda ya wawili wapendanao!!!! Au ulitaka wakatoe hiyo mimba ndo ufurahi? Halafu umekaa kiumbeya umbeya kweli....sasa ikiwa walikuwa wanataka kuficha ukweli wangetumia majina yao? Acha wivu wa uke wenza, utakuja kuolewa. Watu wana watoto kila kona na hamsemi

 
Msafi Dr.Slaa anapiga mimba wake za watu, alifukuzwa upadre kwa kupenda ngono.
yote wewe wasema, lakini all in all hakuna binadamu aliyekamilika. Kama tungeanza kufuatilia nyendo binafsi, jk asingepaswa kuwa rais, wala adamu malimu, wala mwigulu nchemba, na kwa uchache tu historia ya sofia simba tukiweka hapa tutaudhalilisha hata huo uwaziri aliopewa. Hakuna shughuli asiyoifanya ya mtaani kamwe kama mwanamke. Zingine naona hata ukinyaa kuweka hapa! Angalieni mambo yenye tija kwa taifa letu na sio mambo binafsi ya watu, hayo hayatasaidia kujenga barabara, kukomesha wizi, wala kupunguza idadi ya wajawazito wanaokufa wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora katika hospitali za umma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…