Mambo binafsi yanapogharamiwa kwa kodi zetu lazima tupige kelele. Kiongozi wetu wa kitaifa anapokwenda ndivyosivyo hatuwezi kunyamaza.kwani chadema imeingiaje hapo? Mbowe ndo cdm? Je sheikh mmoja akizini ndo msikiti umezini? Je padre akizini na kanisa limezini? Je mantiki yako ni nini? Je malima alipozini pale moro kama naibu waziri, je wizara anayoiongoza ndo imezini? Huo ushabiki hauna maana yoyote. Tusiingize siasa katika mambo binafsi ya watu.
haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.Hauna ushahidi wa hili hata chembe. Unampa mwanamke UBUNGE wa VITI MAALUM kwa kuwa ni nyumbandogo?
Haya ndiyo maadili ya kiongozi wa chama cha upinzani.
Ana mke na watoto na bado hatosheki na anakwenda kinyume na mafundisho ya dini yake na kufanya zinaa na mbunge wake wa viti maalum.
Viti maalum vya chadema kigezo chake kikubwa na cha kwanza ni hicho.
Dah! inasikitisha sana.
Huyu Mama Mukya ni Mbunge wa VITI MAALUM. Analipwa mshahara na stahili nyingine zote za kibunge na mwakani atalipwa pensheni kubwa tu kumalizia Ubunge wake huu.binafsi sijaelewa kodi ya serikali kivip?
Ukweli mchungu huu ambao watu wengine hawataki kuusikia kabisa lakini ukweli lazima usemwe hata kama unauma.Huyu Mama Mukya ni Mbunge wa VITI MAALUM. Analipwa mshahara na stahili nyingine zote za kibunge na mwakani atalipwa pensheni kubwa tu kumalizia Ubunge wake huu.
Hiki kiti maalum cha Ubunge kakipata kwa kuwa ni kimada wa Mh Mbowe! Hakuwa na sifa nyingine kubwa kuliko hiyo!
Kumbe ndiyomaana mzee slaa anaendeleza uzinzi kwenye chama halafu mnamchekea kumbe kwenu ni kawaida sana tu.haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.
..tafuta wewe mwenyewe, mbowe ametumia kodi ipi ya serikali? Yaani nimeamini nyani haoni kundule, je jk hilo tezi lake kutibiwa ametumia pesa yake binafsi au ya umma? Je yule malima alitumia pesa yake binafsi ama..Mambo binafsi yanapogharamiwa kwa kodi zetu lazima tupige kelele. Kiongozi wetu wa kitaifa anapokwenda ndivyosivyo hatuwezi kunyamaza.
Huyo Malima uloomkomalia alizini na nani?
Hawa uliowataja pamoja na mimi tunafanya zinaa kwa mishahara na mapato yetu mengine. Kwa nini umpe ajira au Ubunge mtu kwa kuwa ni nyumbandogo au kimada?haa haa, sema wewe huna ushahidi. Huo ndo ukweli malima aliibiwa morogoro hotel huku akifanya uzinifu. Sio huyu tu, fuatilia nyendo za hawa wafuatao, mwigulu nchemba, george simbachawene, vick kamata,nk. Suala la hili la zinaa halina na itikadi mkuu.
haa haa kwa hiyo kama analipwa na bunge, je pesa yake haruhusiwi kuitumia atakavyo? Je una ushahidi gani kama yule joyce mukya hakuwa na sifa ya kuwa mbunge? Je jama mahusiano yalianza baada ya kuwa mbunge? Mbona mh. Hamis kaghasheki ana mahusiano na mbunge mwenzake magige? Je hilo unalionaje? Bado nasisitizia hayo ni mambo binafsi haya mahusiano na vyama!Huyu Mama Mukya ni Mbunge wa VITI MAALUM. Analipwa mshahara na stahili nyingine zote za kibunge na mwakani atalipwa pensheni kubwa tu kumalizia Ubunge wake huu.
Hiki kiti maalum cha Ubunge kakipata kwa kuwa ni kimada wa Mh Mbowe! Hakuwa na sifa nyingine kubwa kuliko hiyo!
Mbowe kampa kimada Ubunge. Analipwa kwa kodizetu. Rais wetu kutibiwa kwa kodi zetu ni stahili yake na ataendelea kutibiwa kwa kodizetu hadi atakapoondoka duniani...tafuta wewe mwenyewe, mbowe ametumia kodi ipi ya serikali? Yaani nimeamini nyani haoni kundule, je jk hilo tezi lake kutibiwa ametumia pesa yake binafsi au ya umma? Je yule malima alitumia pesa yake binafsi ama..
hakuna uzinzi wa chadema, ccm wala cuf. Kuna uzinzi wa mbowe, malima,kikwete, simbachawene na hata mwigulu mkuu. Hayo ni mambo binafsi ya watu! Hayahusiani na taasisi zao.Uzinzi kwa chadema ni jadi kila mtu anajua hilo.
Hapo hakuna kilicho fichwa, ni ufunyu tu wa akili kwamaana jina la baba limetajwa wazi, hata mimi nilitumia ndugu yangu kupata cheti cha mtoto wangu wa mwisho hiyo ni kwasababu ya nafasi ya muhusika, ukifika kwenye ofisi zinazohusika ni foleni kwahiyo kama kuna ndugu yako anaweza kukusaidia inakubalika.Wewe ni nyumba ndogo ya mbowe au nyumba kubwa? Au wewe ndiye mama wa mtoto,haya twambie kwanini mnatumia mtu mwingine kupata cheti cha mtoto wenu.
Sifa kubwa iloompatia Ubunge Mukya ni hiyo ya uhusiano wake na Mh Mbowe. Sifa nyingine anazo; ni Mtanzania; miaka zaidi ya 21;....haa haa kwa hiyo kama analipwa na bunge, je pesa yake haruhusiwi kuitumia atakavyo? Je una ushahidi gani kama yule joyce mukya hakuwa na sifa ya kuwa mbunge? Je jama mahusiano yalianza baada ya kuwa mbunge? Mbona mh. Hamis kaghasheki ana mahusiano na mbunge mwenzake magige? Je hilo unalionaje? Bado nasisitizia hayo ni mambo binafsi haya mahusiano na vyama!