nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
ujumbe huo wa kwanza kumfikia awe tezi dume.Ahsante kwa kuwajuza watu.
haa haa ina maana sisi watanganyika tumeweka magogoni mtu asiye na akili? Duh masikini watanganyika!
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana
mkuu ingawa umesema vyema, maamuzi hayo anajua yeye afanyeje, kila mtu yuko huru kuhandle mambo yake kadiri anavyoona inafaa! Afanye asifanye halina faida ya jumla kwa watanzania kamwe!Unajua kuna mambo mengine ulimwngu unapasa kutambua kua ni personal issues .
Kuwa na mtoto si dhambi,Mbowe mwnyewe anakosea kuficha kua kazaa na huyo Mwanamke .
Sioni haja ya yeye kuficha ficha jambo hili .
Kitanda hakizai haramu .
Mtoto akija kua mkubwa atajisikia vip .
Ni bora akubaliane na hali halisi .. mtoto ni wake atabaki kua wake,na kama si wake atabaki kua si wake tu ..
Hakuna haja ya kuficha ukweli .
Mm nadhani anapaswa kuwa proud na mtoto wake na si kuanza kuandikisha mtoto tofauti na hali halisi .Aelewe kua maisha hayasimami ,itafika mahali siasa kwake zinaisha ,mtoto anakuja kukosa haki muhimu kutoka kwa baba yake .
Hakuna la kuficha hapa . This is not a big deal .. mm nadhani kua na mtoto is not scandal ni baraka .
Kuna topic moja huku ilisema Mbowe hana Mke - Sasa leo wewe hapa unasema hamuheshimu mke wake! Napata shida sana mimi!Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Vile vitoto vya Sinza unavilinganisha na mabinti wa Kapuya na Capt Komba ambao tayari walikuwa mitaani wanachezewa?teh teh, kweli nimeamini nyani haoni kundule.,kapuya mbona hajapelekwa jela? Je kept. Komba mbona anabaka mpaka wanafunzi wa sekondar lakini anadunda mtaani?
haa haa ina maana
sisi watanganyika tumeweka magogoni mtu asiye na akili? Duh masikini
watanganyika!
Aisee, kumbe ndiye babu yako huyo?Padri aliyefukuzwa!
kwa hiyo??
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.
William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.
Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
we acha hadithi za vijiweni usalama wa taifa hawawezi fatilia vitu kama hivyo