Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Unajua kuna mambo mengine ulimwngu unapasa kutambua kua ni personal issues .

Kuwa na mtoto si dhambi,Mbowe mwnyewe anakosea kuficha kua kazaa na huyo Mwanamke .

Sioni haja ya yeye kuficha ficha jambo hili .

Kitanda hakizai haramu .

Mtoto akija kua mkubwa atajisikia vip .

Ni bora akubaliane na hali halisi .. mtoto ni wake atabaki kua wake,na kama si wake atabaki kua si wake tu ..

Hakuna haja ya kuficha ukweli .

Mm nadhani anapaswa kuwa proud na mtoto wake na si kuanza kuandikisha mtoto tofauti na hali halisi .Aelewe kua maisha hayasimami ,itafika mahali siasa kwake zinaisha ,mtoto anakuja kukosa haki muhimu kutoka kwa baba yake .

Hakuna la kuficha hapa . This is not a big deal .. mm nadhani kua na mtoto is not scandal ni baraka .
 
Unajua kuna mambo mengine ulimwngu unapasa kutambua kua ni personal issues .

Kuwa na mtoto si dhambi,Mbowe mwnyewe anakosea kuficha kua kazaa na huyo Mwanamke .

Sioni haja ya yeye kuficha ficha jambo hili .

Kitanda hakizai haramu .

Mtoto akija kua mkubwa atajisikia vip .

Ni bora akubaliane na hali halisi .. mtoto ni wake atabaki kua wake,na kama si wake atabaki kua si wake tu ..

Hakuna haja ya kuficha ukweli .

Mm nadhani anapaswa kuwa proud na mtoto wake na si kuanza kuandikisha mtoto tofauti na hali halisi .Aelewe kua maisha hayasimami ,itafika mahali siasa kwake zinaisha ,mtoto anakuja kukosa haki muhimu kutoka kwa baba yake .

Hakuna la kuficha hapa . This is not a big deal .. mm nadhani kua na mtoto is not scandal ni baraka .
mkuu ingawa umesema vyema, maamuzi hayo anajua yeye afanyeje, kila mtu yuko huru kuhandle mambo yake kadiri anavyoona inafaa! Afanye asifanye halina faida ya jumla kwa watanzania kamwe!
 
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Kuna topic moja huku ilisema Mbowe hana Mke - Sasa leo wewe hapa unasema hamuheshimu mke wake! Napata shida sana mimi!
 
Chama hiki ni uzinzi uzinzi mpaka mwisho chama cha hovyo kweli.


kikwete akimlisha salma keki.JPGrahma-8.jpg
 
teh teh, kweli nimeamini nyani haoni kundule.,kapuya mbona hajapelekwa jela? Je kept. Komba mbona anabaka mpaka wanafunzi wa sekondar lakini anadunda mtaani?
Vile vitoto vya Sinza unavilinganisha na mabinti wa Kapuya na Capt Komba ambao tayari walikuwa mitaani wanachezewa?
 
haa haa ina maana
sisi watanganyika tumeweka magogoni mtu asiye na akili? Duh masikini
watanganyika!

Huyo Mzinzi unaedai umemweka magogoni ni nani? Wewe huwa unamshuhudia vipi mpaka useme ni Mzinzi?
Acha kupotosha watu kwa hoja dhaifu za vijiweni.
 
Tatizo wa tanzania wanapenda kufatilia vitu ambavyo aviwa saidii .
 
Mbona hakuna tatizo hapa!!! Sioni cha ajabu. Au ulitaka kutujulisha tu kuwa Mbowe ana mtoto na huyo dada? Badilisha kichwa cha habari!!!!!
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.

William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.

Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

 
Mkuu mi sion tatizo hapo, maana wangeamua kuficha ukwel jina la MBOWE lisingeonekana lakn wameweka yote sion haja ya kuwashutuma maana huo ndio uthibitisho sasa kama ameenda kumchukulia bibi, babu, mjomba au mpwa wake sio issue kwangu
 
Angalia no.11 Kwenye Hiyo form na ulinganishe na maelezo ya huyo mwombaji
 
Mi nafikiri kuweka details za mtoto na picha yake humu kwenye mtandao ni unyanyasi kwa mtoto. Wewe uliyepost hizi picha hakupaswa kuweka hizo details kwani ni udhalilishaji na unakiuka haki ya mtoto ambaye hawezi hata kuji-defend. Nashangaa mod kwanini ameacha taarifa hizi ziendelee kukaa hapa, lazima tujifunze kuheshimu haki za watoto na kama una issue na Freeman Mbowe na Joyce Mukya ni bora uka-direct attacks kwao na siyo kwa huyu mtoto ambaye hata hajui walichokifanya wazazi wake. It's a shame watu wazima hatukemei hilo.
 
Haya ndiyo maadili ya kiongozi wa chama cha upinzani.

Ana mke na watoto na bado hatosheki na anakwenda kinyume na mafundisho ya dini yake na kufanya zinaa na mbunge wake wa viti maalum.

Viti maalum vya chadema kigezo chake kikubwa na cha kwanza ni hicho.

Dah! inasikitisha sana.


rahma-8.jpgRhma-6.jpg
 
Back
Top Bottom