Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Huyo mtoto ni ushahidi wa wazi kuwa walifanya bila kutumia kondomu.Swali la kuuliza je hawajambukizana ukimwi au walipima kabla ya kufanya pekupeku?

Kama hawakupimwa namhurumia mke wa ndoa wa Mbowe.EE mwenyezi Mungu mnusuru na maradhi.
 
hahahahahaha hata mm naweza tengeneza hiyo!...
 
Amani iwe nanyi wana JF,

kumekuwa na desturi "mbaya" ya baadhi ya wana JF kuzungumzia mambo ya chumbani ya wanasiasa! Ndoa za Mbowe, Kikwete, Sugu, n.k. zimekuwa ndiyo case study

Kilichonifanya niandike uzi huu ni jinsi kada wa CCM aliyekuwa ofisini kwangu huku akisema kuhusu "uchepukaji" wa KUB F. A. Mbowe!!

Nilimuuliza kuhusu ndoa yake, akashindwa!

Nilimwambia anitajie
1. Mke/wake wa Kinana ni nani?
2. Watoto wa Kinana ni akina nani?
3. Mrithi wa mabilioni ya Kinana kama makampuni ni nani?
4. Nini mchango wa familia ya Kinana katika siasa?

Ndoa si siasa hata kidogo, hakuna mjanja kwenye ndoa! La sivyo watu wasingekunywa supu ya pweza iliyo na shombo!

Wapo akina marehemu TataMadiba walishindwa kusamehe mpaka kuoa uzeeni! Ndoa ya Nyerere ilitetereka pia. Ndoa ya Bill Clinton ilitetereshwa na Monica Lewinsky

Hawa watu wanaoleta siasa kwenye ndoa hawafai hapa na labda ni watoto wadogo na hawajaoa!

Mbowe na mkewe wamesameheana na kuamua "yaliyopita si ndwele" na wamefungua ukurasa mpya
 
Last edited by a moderator:
Hivi ccm mmerogwa na nani?!! Yaani badala ya kufuatilia mambo yenye tija kwa taifa mnaishia kuleta umbea wa kike kuhusu maisha binafsi ya watu? Very stupidity indeed.
 
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Bado hajazaa na wewe na Yule mtoto wa first house aliyepata division five.
Kaeni kwenye line.....vueni chup.i kabisa atawapitia muda sio mrefu.
 
Safi sana,ni jambo la kheri kuwa na mwenyekiti rijali especially kama hajawahi kufanyiwa operesheni tezi dume,ukitaka na ushahidi wa kimaandiko pia nitakupatia!

Hivi Mwenyekiti ana mke au hana? Joyce ni mke wake?
 
Mtoto wa Ndesamburo alipolwa mke na Mbowe, ila jamaa haku mind akaoa mke mtoto mdogo dogo hivi ila kwa sasa amenenepa, sijui kwanini wanapenda kupola wake za watu wakati wasichana wapo wengi tu mitaani ataweza kusoma IFM au CBE kulivyo na watoto wazuri si atazaa nao wote? Sijui kama condom anaijua.

Hii ni hatari sana kiongozi kioo cha jamaa kukataa kutumia kinga hata kwa michepuko!
 
kisheria mleta uzi alitakiwa kuficha jina la mtoto na sura yake angebandika hayo makaratasi mengine bila jina wala sura ya mtoto kuonekana huu ni unyanyasaji wa watoto ngoja niripoti abuse kwa mod
Wala si unyanyasaji inaweza kuwa ni Mama mtoto mwenyewe kaamua kuiambia dunia kuwa Mbowe ni wangu na huyu ndio mwanae wenye kinyongo wameze wembe!!

Si unajua tena mwanamke wa kiswahili akipata bwana na bwana mwenyewe akiwa anazo na akawa ndio mwenyekiti basi mtaa mzima kuanzia ufipa hadi lumumba lazima wajue kuwa Joyce Mukya kapata bwana!!!
 
None of our business:Sound too Personal: Ni kheli nyumba ndogo kuliko Kutuibia Fedha zetu ESCROW Account.Hata Cliton former USA president alikuwa mzinzi lakini record yake ya Utumishi wa umma "USA" hadi leo ni LULU
 
kisheria mleta uzi alitakiwa kuficha jina la mtoto na sura yake angebandika hayo makaratasi mengine bila jina wala sura ya mtoto kuonekana huu ni unyanyasaji wa watoto ngoja niripoti abuse kwa mod

Acha kulialia weka hapa hiyo sheria!
 
sitaki kujua kama kuna ukweli ndani yake ama la! Ila tatizo ni nini mpaka ulete mada hii? Kuna tatizo mwanaume kuzaa nje ya ndoa kama ameamua kufanya hivyo? Huyo mheshimiwa mkuu wa kaya ana watoto wangapi nje ya mke au wake zake halali? Umetumwa kupost au ni akili zako mwenyewe??.Inasikitisha sana.
Kwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom