Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mbowe ajiuzulu uenyekiti CHADEMA.
Hakika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ajiuzulu uenyekiti CHADEMA.
Ule uliotolewa mahakamani unatosha sana. Ulihusisha hadi daktari mzuri tu.huku ni kuishiwa hoja wewe ndo unatakiwa kuleta ushahidi wa wale watoto kubakwa au wewe ulibakwa mimi siamini kama wale watoto walibakwa
Ndoa si mchezo , ndoa si lelemama
Mkuu ushahidi unaonesha Mwenyekiti alikataa kata kata kutumia kinga wakati anajua kabisa hatari na anajua sheria za michepuko! Inatoa machozi!
Wazinzi kwa kuteteana hamjambo mnajuana tu.Hilo halijibu kuhusu uchafu huu wa ESCROW
ACHENI SIASA ZA KIPUUZ TAIFA LINAANGAMIA HILI
Mwambie bi mkubwa wako kuwa mzee wenu kazaa na joy mukya ndoa ishakuwa ndoano.Nyie pigeni kelele semeni msemayo, la msingi CCM iondoke kwanza
Mmechoka na mmekiri kuwa mmechoka haya mengine hatuyaangalii kwa sasa. Delete CCM kwanza.
Weka viambatisho mkuu porojo bila viambatisho ni bure chadema kwa maadili ya kipuuzi wamezidi tabia gani za hovyo hizi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti hiki chama au genge la wahuni.
Kwann mbowe anazaa zaa hovyo hivi? Kwann hamuheshimu mke wake?
Mwambie bi mkubwa wako kuwa mzee wenu kazaa na joy mukya ndoa ishakuwa ndoano.
wewe una uhakika kuwa baba yako alizaa na mama yako?
Ha ha ha ha ha,mwenyekiti hana elimu ya uzazi kabisa.Mkuu unapoteza muda kunitukana! Ushahidi unaonesha hapo Mwenyekiti hakujali kinga wakati akiwa mchepukoni!
Kwahiyo unakubaliana na mbowe alivyomsaliti mama yako na kwenda kwa joice mukya?Wewe una uhakika kuwa baba yako alizaa na mama yako?
Wazinzi kwa kuteteana hamjambo mnajuana tu.