Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Joyce Mukya, wamelazimika kutumia Mjomba wa mtoto wao Cayla-Stacy aliyezaliwa 16 aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa.

William Christopher Shechambo, mjomba wa Cayla-Stacy(kaka wa Joyce Mukya) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka.

Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na kadi ya Kliniki ya Mtoto.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php


So what? Tatizo ni nini? HAta mimi nilimtuma mdogo wangu kufuatilia vyeti vya wanangu? hii ni special? How?
 
Msafi Dr.Slaa anapiga mimba wake za watu, alifukuzwa upadre kwa kupenda ngono.

Mkuu kafunga watu maisha jela. Kuchapiwa ni siri ya ndani,mbona yeye anachapa mama zetu pia. Yule mbunge wa wanawake na maendeleo first lady alianza kumbania kwenye taasisi yake ya WAMA. Basi ndio hivyo kaka.
 
haa haa hilo ni kweli, kama tungetaka kupingana na tamaduni zetu tungeliweka hili kwenye katiba yetu!

Umeona eh!Dini zenyewe ambazo zingetuzuia nazo ni shidaaaaaaaa.Hapa hakuna cha Mkristu wala Muislamu wote tupo kapu moja.Waafrika NGONO ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kumbe ndiyomaana mzee slaa anaendeleza uzinzi kwenye chama halafu mnamchekea kumbe kwenu ni kawaida sana tu.
uzinzi hauna chama, je malima amechukuliwa hatua gani? Je naibu katibu mkuu wa chama chenu amechukuliwa hatua gani? Litakuwa ni kosa kubwa sana la kipumbavu kumuhukumu mtu kwa mambo yake binafsi.
 
Hawa uliowataja pamoja na mimi tunafanya zinaa kwa mishahara na mapato yetu mengine. Kwa nini umpe ajira au Ubunge mtu kwa kuwa ni nyumbandogo au kimada?
hizo ni hisia zako tu, una uhakika gani kapewa ubunge kwa sababu ya nyumba ndogo? Je mh. Kaghasheki unajua kwamba na mahusiano na mbunge mwenzake?
 
Eeeehhh...kumbe Mbowe kazaaa kabisa na Joyce...so mke wa pili wa Mbowe ila KWA ZINAAA....!!!!

Dr. Slaa nae mambo ya zip yamemshinda muda tu....

Mwenyekiti wake nae ndio KAMA YEYE.....

SO WAZINIFU WOTE VIONGOZI WA NCHI HII...kuanzia CCM huko ndio usiseme...wengine hawajui watoto wao...

So DON'T FOLLOW these people ain't leaders, ARE PROSTITUTES....!!!!
mkuu hayo mambo hayana vyama, sio cuf, ccm wala cdm!
 
If anything, mahusiano ya wawili hao yalianza baada ya huyu dada kuwa Mbunge (?). Hivyo, hoja yako kuwa alipewa Ubunge kwa kuwa alikuwa na mahusiano na Mwenyekiti inakosa premise. Hii haina maana kuwa natetea extra-marital affairs. Lakini nafahamu kuwa (and this is from research) human being is naturally a polygamous creature. Monogamy is simply socially constructed and not at all natural (FaizaFoxy, hujawahi kuzini?). Wachache ambao hubaki njia kuu ni kwa kujizuia tu na si kwa sababu it occurs naturally to them.

PS. Nimpongeze Mhe. Mbowe kwa kuwa wazi na hili suala japokuwa watu anafahamu watu watahoji uadilifu wake na kujenga hoja kuwa hana sifa za kuwa kiongozi. Kwa sababu za kisiasa angeweza kuficha na hata kukana mahusiano na huyu dada na mtoto mwenyewe. He just need to be careful to avoid conflict of interests.

Mithali 6:32

“Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”
 
mwenyekiti wa chama chako amezini na wanawake behewa kama 100 za treni na amezaa watoto lukuki kila kona ya nchi hii, ndo maana tezi dume limekamata! Ikulu kwa mara ya kwanza imepangisha wahuni na wazinifu.

Mithali 6:32

“Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”
 
Sifa kubwa iloompatia Ubunge Mukya ni hiyo ya uhusiano wake na Mh Mbowe. Sifa nyingine anazo; ni Mtanzania; miaka zaidi ya 21;....

Kaghasheki na Magige wote ni vidampa tu ndani ya mfumo wa viti maalum vya CCM.
haa haa, bado siamini kama alipewa kwa upendeleo kamwe.
 
Mithali 6:32

“Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”

Naamini CHADEMA wakisoma huo msitari sasa watakuwa wamejua kama SLAA na MBOWE wana akili au hawana.
Labda niwaulize CHADEMA baada ya kusoma huu msitari Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; (Mithali 6:32)
Je mbowe ana akili au hana akili? Slaa naye je ana akili au hana? Je kama hawana akili wafaa kuongoza chama au kugombea uraisi?
 
Babu seya kwa nini anaozea jela?
Alikata hadi rufaa Babu Seya wenu huyu mshenzi kabisa. Vitoto vile alivyoharibu vingekuwa vyenu au vya jamaa zenu mngetamani anyongwe badala ya hizi story zenu za kuambukizana vijiweni.
 
Makubwa haya. Mbowe ana nyumba ndogo nyingi sana

So what? Hao viongozi wa upande mwingine unafahamu nyumba ndogo zao? Stick to the guns tuangalie yanayohusu nchi tuache upuuzi
 
Chama hiki ni uzinzi uzinzi mpaka mwisho chama cha hovyo kweli.
 
Naamini CHADEMA wakisoma huo msitari sasa watakuwa wamejua kama SLAA na MBOWE wana akili au hawana.
Labda niwaulize CHADEMA baada ya kusoma huu msitari Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; (Mithali 6:32)
Je mbowe ana akili au hana akili? Slaa naye je ana akili au hana? Je kama hawana akili wafaa kuongoza chama au kugombea uraisi?
haa haa mbona hili swali ujijibu kwa watu wafuatao, tezi dume, malima, mwigulu nchemba na hata george simbachawene.
 
Alikata hadi rufaa Babu Seya wenu huyu mshenzi kabisa. Vitoto vile alivyoharibu vingekuwa vyenu au vya jamaa zenu mngetamani anyongwe badala ya hizi story zenu za kuambukizana vijiweni.
teh teh, kweli nimeamini nyani haoni kundule.,kapuya mbona hajapelekwa jela? Je kept. Komba mbona anabaka mpaka wanafunzi wa sekondar lakini anadunda mtaani?
 
Chama hiki ni uzinzi uzinzi mpaka mwisho chama cha hovyo kweli.
usidanganye watu hapa, uzinzi hauna vyama kamwe, mbona kina sitta, mwigulu, sofia simba, na hata jk na malima wote hao huzini? Je nao ni cdm?
 
Back
Top Bottom