Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja. Kama mwelekeo wetu ndio huu basi tutasonga mbele. Ila kama na wewe umetumwa na Mbowe kuja kuzima mjadala huu basi utakuwa umekosea sanaNarudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Mkuu wewe una hoja ya msingi, hawa BAVICHA wanataka kututoa kwenye kauli mbiu ya kitaifa ya Hapakazitu. Huyu Ben ni kama Chadema wanamtumia kama agenda ya kutaka kiNarudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Basi atakaporudi hapa nchi kutoka huko anakokula bata atakuja na matamko lukuki na ya hisia ile mbaya, akitoka hapo BAVICHA wamelainika kumbe funika kombe mwana haramu apite safari hii nitawadharau BAVICHA moja kwa mojaHili swala sio la kulijadili maana mbowe nadhani yupo upande wa pili hawezi kuwa kimya kiasi hiki,,,, hata gazeti lake lisiripoti chochote
yap, hata mjinga lazima anaona hivyo, ukimya wa Mwwnyekiti unadhihirisha hiloNahisi harufu ya Chacha wangwe!
Atume tu hata uongo angalau kurudisha imani kwa wananchi.Mbowe asisubiri mpaka arejee ndipo atoe taarifa ya kupotea kwa Ben bali aitume huko huko aliko. Hali ya hewa imechatuka
Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Nchi inaendeshwa kama gari bovuNchi inaenda mbele Raisi wetu yuko makini kashikilia usukani!
Viongozi wangu wamenisikitisha sanaI am smelling a rat!
Si bure...viongozi wa juu wa chadema wanapaswa kuhojiwa hapa...nasikia harufu ya uozo hapa
Mi nisema sema sana kuwa kuna watu kibao hupotea kama huyo Ben,na watu wanafanya mambo yao kama kawaida ila kupotea kwa Ben imekuwa jambo kubwa kuliko matatizo tuliyonayo utasema huyo Ben sijui ni nani katika nchi hii.Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
Ben ni Msaidizi wa Mwenyekiti wa chadema Taifa. Kupotea kwake lazima kuzue mjadala mitandaoni. Ni jambo la kawaidaMi nisema sema sana kuwa kuna watu kibao hupotea kama huyo Ben,na watu wanafanya mambo yao kama kawaida ila kupotea kwa Ben imekuwa jambo kubwa kuliko matatizo tuliyonayo utasema huyo Ben sijui ni nani katika nchi hii.
Ingekuwa ni jambo la kawaida basi lisingekuzwa kiasi hiki cha kutaka nchi nzima ijadili kupotea kwa mtu mmoja tu,ila katika aina za siasa zetu hapa Tz ni jambo kubwa sana.Ben ni Msaidizi wa Mwenyekiti wa chadema Taifa. Kupotea kwake lazima kuzue mjadala mitandaoni. Ni jambo la kawaida