Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Hivi nyie wana chadema, gazeti la TzDaima ni kipeperushi cha chama?
Sie tusio wanachama habari za Saanane zinatuhusu nini?

Na kama hili gazeti ni habari za chama chenu tu, basi liuzwe pale Ufipa tu, na lisiruhusiwe kuitwa gazeti huru bali memo ya chama kwa wanachama wake.
 
Kaka angu, ukiona hivyo ujue mambo yamewafika hapaaaaaa!
 
Kinachosikitisha ni kiwa watu wsliolivalia njuga swala la Ban ni watu baki tu washkaji wake wa karibu hawajalichukulia kwa uzito hili swala upepo ukipungua makali tutajua tu mbivu na mbichi SITAKI SHARI
 
Malisa haminiki, juzi alitudanganya kuwa Ben Saanane siyo Mkurugensi wa sera na utafiti wa Chadema. Halafu leo ndo wanakubali Tanzania Daima ni gazeti lao?
 
Malisa haminiki, juzi alitudanganya kuwa Ben Saanane siyo Mkurugensi wa sera na utafiti wa Chadema. Halafu leo ndo wanakubali Tanzania Daima ni gazeti lao?
Nadhani anatafuta cheo cha PA kama Ben asipopatikana
 
baada ya lizaboni kumsakama sana saanane miezi miwili iliyopita,muda mfupi baadae akapotea
 
Eti "...I am very dissapointed on this..." Ha ha ha. Malisa muombe Ras Simba akunoe.
 
.wewe unashindwa kuhoji Lumumba hela za maafa ya bukoba ziliko na kwanini mwenyekiti wenu hakuguswa na swala zima LA maafa unahoji kwa wengine tena eti kwanini gazeti halikuandika?hivi vyombo vya usalama kazi yao nini kama si kulinda na kujua taarifa kama za kupotea binadamu,puuuuuzi kabisa
 
Wanafichana wenyewe kwa figisu figisu zao halafu wanataka iwe habari ya mjini
 
Narudia tena tuzungumze issues ambazo ni maslahi kwa taifa ili tuweze songa mbele na maisha yetu yawe na tija,, mpaka sasa hatujui tulipo,, tunahoji upotevu wa mtu mmoja!? Shame on u,, tutulize akili jamani oh oh tutaachwa huu muda siyo wa porojo za siasa jamani,,,
 
Mkuu una maana wa kuhoji ya BEN ni Chadema pekee? Hapo ndipo tunapokuwa na mashaka na Bosi wa Saanane. Kauli zenu zinazidi kudhihirisha hilo.
 
Mkuu, yaelekea kuwa umekuja kwa pupa kuchangia ama hujui nini unachangia. Malalamiko ya kwa nini Tanzania Daima hawajaipa uzito taarifa ya kupotea kwa Ben Saanane sijayatoa mimi. Katoa Malisa GJ nami nimenukuu tu kile alichosema. Bahati nzuri nimeattach kile alichoandika. Akili yako ikikaa sawa utaelewa nini nimeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…