Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

Kuna heria ipi imevunjwa? Au kwenda Ngorongoro mpaka upate Visa kama mgeni?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sheria ipi iliyovunjwa? Au kwenda Ngorongoro mpaka upate Visa kama mgeni?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
"Tii sheria bila shuruti", hiyo ndiyo motto ya Polisi Tanzania. Ukitaka kupishana nao KAIDI ndiyo utajuwa uwezo wao.

Lissu alipaswa kwenda kuuliza kwenye mamlaka husika kwa nini hawataki aende. Period

Haya mengine ni kutaka uchokozi tu na mamlaka. Halafu kwa mtu ambaye ni mwanasheria na anatarajia kuja kuomba ridhaa ya uongozi wa nchi, alipaswa aonyeshe kiwango cha juu cha nidhamu.

Utampaje uRais mtu ambaye kichwa chake na cha Mdude Chadema hakina tofauti.
 
Kumbe humu JF huwa tunajadiliana na Vitoto vidogo sana!
Ni kweli Mbowe alifanya kazi BOT mwaka 1982- 1985 kama karani baada ya kuhitimu Form VI kule I Ihungo Secondary. Lakini hana elimu nyingine "formal" kutoka chuo kinachoeleweka. Nina underline tena chuo kinachoeleweka
 
Wala hakuwa karani
 
Mbowe afanye kazi bank kuu? You must be kidding. Kwa elimu Gani aliyonayo
Mbowe alifanya kazi BOT kama ex Form VI mwaka 1982-85. Nafasi yake kama karani haimuongezei sifa yeyote kuchangia hoja za uchumi, fedha na benki. Anabakia ni mbumbumbu tu
 
Iacheni serikali ichape kazi sio kila kutwa majukwaani kupotosha na kupinga Maendeleo!!
 
Umeisoma Katiba vizuri? CCM mlivyokuwa wajinga mnadhani mikutano ya siasa ni hisani , hapana ni hitaji la katiba. Pia tambua Ngorongoro ni Tanzania sio Rwanda.
 
Umeisoma Katiba vizuri? CCM mlivyokuwa wajinga mnadhani mikutano ya siasa ni hisani , hapana ni hitaji la katiba. Pia tambua Ngorongoro ni Tanzania sio Rwanda.
Umeonaeeeeeee?
Hayo mengine ni mazwazwa wa lumumba tu hayajui hata kama mikutano ya kisiasa ni takwa la kikatiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…