eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Kuna heria ipi imevunjwa? Au kwenda Ngorongoro mpaka upate Visa kama mgeni?Huyo makamu anatakatl kutuvurugia amani yetu wakati tunajua fika yeye akiona mambo yamemchachia anakimbilia ubalozi na kusindikizwa kwenda airport kukwea pipa kwenda ughaibuni hata familia yake haipo nchini. Ashindwe na alegee asituchafulie nchi yetu sisi wengine hatuna la kukimbilia.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app